Hivi siku hizi Hakuna mwanaume asie na mtoto (singer father)

mamamzungu

JF-Expert Member
Nov 17, 2019
2,374
3,887
Wapendwa, nauliza tu sio kwa ubaya kwani siku hizi wanaume wote mna watoto

Yaani tangu nianze mahusiano seriously namaanisha ya Kiutu uzima natongozwa na wanaume wenye watoto

Nina ex wawili ambao wote wana watoto tena wawili wawili. Unakuta kijana ana miaka27 tayari ashazalisha mabinti wawili… Haya huyu nilie nae sasa

Ukiachana na hao wanaume wengi ambao wamenitongoza wana watoto… yaani nikipata asie na mtoto basi anakuwa mdogo kwangu kiumri au rika langu labda na wanachuo ila huku mtaani serious sijawah kupata mwanaume asie na mtoto

Wakati nipo A level tukiwa tunastorika bwenini nilisemaga kwamba sitaki mwanaume mwenye mtoto kuna mwenzangu mmoja akawa ananiambia mamamzungu yaani lazima uwe mama wa kambo, mwanaume atakae kuoa lazima awe na mtoto… nimewaza hapa au yule dada alinichawia

Si kwamba siwapendi watoto hapana nimeuliza tu

Nauliza tu ni kwamba kuna shida yoyote kwangu labda
 
Back
Top Bottom