Heko M. M. Mwanakijiji kwa makala (gazeti la Mwanahalisi)

Ahsante sana Waberoya,huyo hajui kama hata Sir isaac Newton aliandika"In every action there is equal and opposite reaction".watu waliifanyia kazi mpaka leo tunapanda ndege,wakina Archmedes principle waliandika tu,leo tunapanda meli.Ofcoz hakuna kitu kilicho na nguvu kuliko maneno,hata mungu aliumba ulimwengu kwa maneno(hakubeba tofali).Hata vita havipiganwi bila maneno,mwanajeshi hawezi kupigana tu,kama ingekuwa hivyo tungemvamia Amin bila maneno ya Mwalimu.Na ndo maana kuna wanafalsafa mara nyingi hawawi wafalme.

kweli kabisa mkuu; umenikumbusha hivi vichwa


Sir Isaac Newton:

This genius was born in 1642 and died in 1727, he was a mathematician and physicist and natural philosopher. Born at Woolsthorpe, near Grantham in Lincolnshire, where he attended school, he entered Cambridge University in 1661; he was elected a Fellow of Trinity College in 1667. He formulated laws of universal gravitation and motion-laws that
isaacnewton.jpg


explain how objects move on Earth as well as through the heavens. If you ever taken a physics you would learn about his three popular laws, and you may hear the apply story that led him to discover the theory of force and gravity. He basically saw an apply fall in his orchard at some time during 1665 or 1666 that Newton conceived that the same force governed the motion of the Moon and the apple. He calculated the force needed to hold the Moon in its orbit, as compared with the force pulling an object to the ground. He also calculated the centripetal force needed to hold a stone in a sling, and the relation between the length of a pendulum and the time of its swing. These early explorations were not
soon exploited by Newton, though he studied astronomy and the problems of planetary motion.. Because he was cleaver in math, he invited the area of mathematics called calculus "used to be called method of fluxions". While still a student, Newton read recent work on optics and light by the English physicists Robert Boyle and Robert Hooke; he also studied both the mathematics and the physics of the French philosopher and scientist René Descartes. All these amazing discoveries made his take our number one of the world's most intelligent people.
Albert Einstein:

He is considered one of the greatest and most popular scientists of all time. He was born at Ulm, in Württemberg,
albert-einstein.jpg
Germany, on March 14, 1879. After World War II, Einstein was a leading figure in the World Government Movement, he was offered the Presidency of the State of Israel, which he declined, and he collaborated with Dr. Chaim Weizmann in establishing the Hebrew University of Jerusalem. At the start of his scientific work, Einstein realized the inadequacies of Newtonian mechanics and his special theory of relativity stemmed from an attempt to reconcile the laws of mechanics with the laws of the electromagnetic field. He dealt with classical problems of statistical mechanics and problems in which they were merged with quantum theory: this led to an explanation of the Brownian movement of molecules. He investigated the thermal properties of light with a low radiation density and his observations laid the foundation of the photon theory of light. Albert Einstein received honorary doctorate degrees in science, medicine and philosophy from many European and American universities. One last note, he received the Nobel Prize in Physics 1921.

angalia nilipoweka red colour; he managed to know,challenge and use Newton laws simply because they were written!
 
Inatosha wa ndugu Tumaini anaelewa ila anabisha na kujaribu kumwagia mafuta moto; Katika nchi ya wababe hakuna anayeogopwa sana kama msemaji huru. Ndio maana watawala wababe hawasumbuliwi na wanaokaa kimya na kwenda kazini, na kupokea mshahara wao (kama anavyonitaka niwe). Wanasumbuliwa na wale wanaosimama kusema na kupinga.. kina Mandela, kina Gandhi, kina MLK Jr, na wengine wengi ambao nguvu yao kubwa na upanga wao mkubwa ni maneno.

Naamini bila kushambulia fikra hatutafika na ninaona fahari kuwa katika kundi la walio huru kifikra wanaozungumza pasi na hofu na wenye kuthubutu kufikiri tofauti na watawala.
 
hahaha Pasco.. usiumie sana; kadi wamenikatalia ati nitakuwa pandikizi; kwa hivyo fikra zangu bado ni huru.
Yaani wamekukatalia! Kweli hao ni wajinga kabisa, hawafahamu maana ya constructive criticism? Au hata ile methaliiswahli kuwa mchawi mpe mwanao akulelee naoyo imewapiga chenga?!?
 
Yaani wamekukatalia! Kweli hao ni wajinga kabisa, hawafahamu maana ya constructive criticism? Au hata ile methaliiswahli kuwa mchawi mpe mwanao akulelee naoyo imewapiga chenga?!?

Nimeomba kadi karibu miaka miwili iliyopita; hivi majuzi nikafikiri wananipatia lakini wakawa wanataka vithibitisho utadhani nataka kujiunga CIA.. Mwishoni wananiambia "tumesikia una mpango wa kutusafisha... CCM safi haiitaji kusafishwa"..
 
Si yeye na serikali yake waliamua kuwaacha watoto wetu karibu 30 kwenye baridi la Ukraine na kuwalazimisha kuacha masomo ya chuo kikuu kwa kisingizio kuwa "serikali haina pesa" wakati leo hii wanatuma watu karibu sabini kwenda kwenye mkutano huko majuu wakati yeye na wenzake wakicheza kwenye bembea za Cuba? Wanataka Rais Kikwete afanye maamuzi gani magumu? Heko Mwkjj!!!

Mwana wa Kijiji sio bembea za Cuba! Tafadhali itake radhi nchi aliyoikomboa Comrade Castro na Companero Che! Licha ya hilo heko kwa uchambuzi maridhawa!
 
hahaha Pasco.. usiumie sana; kadi wamenikatalia ati nitakuwa pandikizi; kwa hivyo fikra zangu bado ni huru.
.
Pole Mzee, kadi is nothing but a piece of paper, kinachomater ni ile genuine desire deep down your heart to see Tanzania change for the better. Japo wamekukatalia hiyo kadi, amini maneno yangu, utafikia wakati CCM watapata busara za uoni wa ndani jinsi unavyowasaidia, watakuita, watakubembelezea kadi, na utaitwa Magogoni na kuobwa 'tusaidiane'!.

Wewe kwa upande wako, just keep on being who you are, keep on doing whaqt you do as long as is for the good of Tanzanians, nasi tuko nyuma yako regardless itikadi zako kwani thamani yako inatokana na mchango wako kwa jamii na ndipo hapo heshima yako inapolalia kama wengine wetu tulivyo nyuma ya kina Zitto, Slaa na Kitila Mkumbo na wengineo wengi tuu japo we don't share itikadi moja za vyama vyao.
 
naomba radhi makomredi wenzetu kule;; ilikuwa ni ya Jamaica..

Kwa niaba ya macommandante wote 'nakupa radhi'; tunapozungumzia uhusiano na Cuba tunazongumzia vitu muhimu kama udaktari, elimu na ukombozi na sio masihara ya kubembeabembea! Aluta Continua! Vinceremos!
 
By the way, ondoka JF maana wote humu tunatoa maoni si kwa njia ya simu bali kwa kuandika, nashangaa umejiandikisha na kujipa jina Tumaini!!![/QUOTE]

Hili ni tumaini lilifubaa na kufulia,linahitaji uamsho mpya!
 
Rafiki yangu tumain amefulia. Yuko hapa kushambulia kila linalohusu chadema, kaishia kutapika pumba. kwi kwi kwi kwi kwi
 
Kwa kweli huyu ni mchambuzi mahili sana. Nimeipenda sana mada yake.

Hongera Mwanakijiji.
 
Hongera mwana KKJJJ mana hata Hafif kakubali kweli umemchapa pabaya maana kajawa ma negative kila mahali na Tumaini ni mahututi sasa anaanza kujamba hovyo .Makapi ni makapi tu bwana .
 
Unamuongelea Zitto wa zamani au wa sasa hivi?
Nadhani Zitto wa sasahivi amebadilika kidogo!(no offense pls!)

no offense man, nakuunga mikono sio mkono...the new one it seems hawez kuji-MANAGE..! Anachanganya Madawa Kinoma...!
 
By the way, ondoka JF maana wote humu tunatoa maoni si kwa njia ya simu bali kwa kuandika, nashangaa umejiandikisha na kujipa jina Tumaini!!!

Hili ni tumaini lilifubaa na kufulia,linahitaji uamsho mpya![/QUOTE]

Najua wewe ni muumini wa mjj, endelea kumsifia, usijadili majina yangu jadili hoja ala!

Mtazamo wangu kujua kuandika sana si kujua kufanya kazi ..nadharia bila matendo ni sawa na bure kabisa na mifano tunayo nyerere, warioba name them wameipeleka wapi nchi? kelele nyingi..kwa hapa Tz kuna tafiti ngapi ziko volumes lakini inamsaidia nini mtu wa mansenze? anayehitaji nyumba bora na barabara bora, na elimu bora..lol
 
Hongera mwana KKJJJ mana hata Hafif kakubali kweli umemchapa pabaya maana kajawa ma negative kila mahali na Tumaini ni mahututi sasa anaanza kujamba hovyo .Makapi ni makapi tu bwana .
Crap! mimi siwi mahututi kwasababu ya mtu ndugu..niko huru na siko hapa kusifia watu kama wewe endelea kumsifia..jadili hoja achana na mawazo yangu ala!

Kuandika siyo hoja ni kufanikisha unachoandika..kuandika vizuri mbona maandishi tunayo mengi na tafiti nyingi ...lakini wanatafuta kulipwa tu...kwa maandishi lakini hakuna cha maana wanachofanya kwa common person!

Kinachohitajika ni watu kufanya kazi, kutengeneza viwanda vya wenyeji, kutengeneza makampuni ya wazawa yanayoweza kuvuna madini, mafuta nk..

kuendelea kuandika, kelele blah blah nikuwapotezea watu muda kwa kitu ambacho huwezi kufanyia kazi.
 
Inatosha wa ndugu Tumaini anaelewa ila anabisha na kujaribu kumwagia mafuta moto; Katika nchi ya wababe hakuna anayeogopwa sana kama msemaji huru. Ndio maana watawala wababe hawasumbuliwi na wanaokaa kimya na kwenda kazini, na kupokea mshahara wao (kama anavyonitaka niwe). Wanasumbuliwa na wale wanaosimama kusema na kupinga.. kina Mandela, kina Gandhi, kina MLK Jr, na wengine wengi ambao nguvu yao kubwa na upanga wao mkubwa ni maneno.

Naamini bila kushambulia fikra hatutafika na ninaona fahari kuwa katika kundi la walio huru kifikra wanaozungumza pasi na hofu na wenye kuthubutu kufikiri tofauti na watawala.
Wewe unaelewa wapambe wako hawaelewi!
 
Pamoja na kwamba niliandika hii "thread" kwa kusudi la kumpongeza M. M. Mwanakijiji kwa kazi yake ya kuandika maandishi yenye msaada mkubwa kwa jamii (umma) wa watanzania, napenda pia kumpongeza ndugu Waberoya kwa umakini wake. Nadhani Tumaini kama ni wa kuelewa atakuwa ametoa uchafu kwenye ubongo wake kupitia maandishi haya ya kisayansi kutoka kwa Waberoya. HONGERA (Mwkjj na Waberoya) kwa kujaribu kumwelewesha tumaini ambaye, hata hivyo nina wasiwasi kama atakuwa na uwezo wa kuelewa maandishi haya mliyoyaandika kumpa ujumbe na pia kumpa elimi ambayo katika shule yake yote hakuwahi kuipata.

Namshauri pia kwamba (Tumaini), tunakuomba tu wadau wa JF ujiondoe kwenye uwanja huu maana hujui umuhimu wa kazi tunayoifanya humu. Lakini pili umeshajisaliti mwenyewe kuendelea kuwa mwana JF.
 
Wewe unaelewa wapambe wako hawaelewi!
Sasa unaandika ili iweze, je kwa kuandika umeajiri watu viwandani? Hivi mwanazuoni gani huyu asiyejua hata akifanyacho. Ndiyo maana sasa hivi wahitimu wengi wanaonekana kama vihio tu, kumbe ndiyo sababu hii. Hivi wewe utamjengea mwanafunzi uwezo wa kufikiria na hatimaye kushiriki vyema "kuargue" in a positive direction? Inabidi kazi hiyo ukaresign tu, maana hujui ukifanyacho.
 
Back
Top Bottom