Hekima , Busara zitumike kutatua migogoro inayoendelea mtwara.

mnyalutanana

Member
Nov 3, 2012
55
18
migogoro inayoendelea mtwara ni vema ikatatuliwa kwa njia za diplomasia,na si kutumia nguvu. Viongozi wakae na watu wa mtwara , wawasikilize madai yao,wawaelimishe na nafikiri watawaelewa tu viongozi wao. Na wanasiasa nao wasishabikie swala hili. Si fahari hata kidogo kushabikia swala hili.
 
Back
Top Bottom