Hekaya ya Ahmed Ally wa Simba SSC

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,505
6,120
TAREHE 7/01/2024

" Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...."

TAREHE 13/01/2024

"Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho bahati ....

Tumetengeneza nafasi nyingi tumeshindwa kuzitumia wapinzani wamepata nafasi na kuitumia vizuri

Lengo kuu katika mapinduzi ilikuwa kutengeneza kikosi na mpaka sasa kocha wetu kashapata jibu wapi ataanzia .....

Sisi kupoteza mapinduzi sio kitu cha maumivu kwetu sababu lengo letu ni kuboresha kikosi chetu na mpaka sasa tumeona kikosi chetu kilivyo bora......

Tukutane NBC
Tukutane Champion league
Tukutane Azam confederation cup

Mtaelewa nini tulifata Zanzibar 💪💪"
 
Mtaelewa nini tulifata Zanzibar "
Timu inafungwa na Mlandege afu wanaitaka Yanga?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
TAREHE 7/01/2024

" Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...."

TAREHE 13/01/2024

"Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho bahati ....

Tumetengeneza nafasi nyingi tumeshindwa kuzitumia wapinzani wamepata nafasi na kuitumia vizuri

Lengo kuu katika mapinduzi ilikuwa kutengeneza kikosi na mpaka sasa kocha wetu kashapata jibu wapi ataanzia .....

Sisi kupoteza mapinduzi sio kitu cha maumivu kwetu sababu lengo letu ni kuboresha kikosi chetu na mpaka sasa tumeona kikosi chetu kilivyo bora......

Tukutane NBC
Tukutane Champion league
Tukutane Azam confederation cup

Mtaelewa nini tulifata Zanzibar 💪💪"
Shida kubwa Nlomooo
 
Anawachezea mashabiki wa simba anavyotaka,amewafanya madunduka
Kaeni na kuku kishingo wenu..sisi kama mashabiki tunamkubali sanaaa..

Hivyo ndivyo inatakiwa iwe..Simba ilikua na kila sbb ya kuwatoa wale mlandege hajadanganya ila matokeo ndivyo yalivyo..so mlitaka asema hatuna uwezo wa kushinda au mlitakaje labda??

Nyie kama yule mtu wenu kawafanya mapoyoyo ni nyie...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom