Heeeeeeelp!!!!!!!!

If our moms had not been tempted.......we would not be here! ''...well played,and well won..''

nataka nami nieke vile nyie mwaeka nigonge ipi button
 
JS ngoja nikupitie hapo dada yangu mpenzi.

Nisubiri usiondoke tafadhali:welcome:

sasa muzeya, mbona unajipigia pande wakati ntoto haoni kijano, njano wala red label? tena anajipiga kichwa ukutani, si utatoka manundu ndugu yangu?

we shauri yako, usije kesho ukalalamika, nunua hedex in advance
 
Hapo cousin ndio umeniua kabisaaaaa... yaani invisibo alikua anaumwa kichwa, halafu huyu ujauzito.. duh, what a coincidence!! Mmoja kichwa, mmoja mimba

Tumpe pole dogo wetu
kwani mimba ni ugonjwa???
 
Wanawake ndio walivyo, mmeumbwa hivyo.
Mko very MOODY.
Leo umeamka vibaya, pia angalia kama unakaribia zile siku zako za chem chemi ya maji yasiyo hai.
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
 
sasa muzeya, mbona unajipigia pande wakati ntoto haoni kijano, njano wala red label? tena anajipiga kichwa ukutani, si utatoka manundu ndugu yangu?

we shauri yako, usije kesho ukalalamika, nunua hedex in advance
Hili angalizo la wakongwe wenzangu lazima liwekewe angalizo.......Usisahau Asprin ilianza kabla ya hedex......:smile-big:
 
Hako kaujauzito hako Kaizer unakokasema nitakapatia wapi watu hawatangazi nia bana wamegoma...........

Nimesoma hapa majuzi kuna mambo ya kwenye ndoto huenda kwa msaaada wa Roho....si wewe ulikuwa mhusika...LOL ( honestly pole, talk to me ur brother)
 
:plane::tea::welcome:
ngja ni..:A S-smoking::A S-smoking: kidogo maanake stim hamna kabisa kwa mukichwa!....!nina USTIMWI(upungufu wa stimu mwilini)...!hii inapelekea ndoa yangu kuanza kulegalega maanake bila stimu ''ze nidful'' inakuwa under-performed
 
.........bar mpya ya wapi? pale kwa msuguri nini? eliza wa tegeta si atashangaa kutokukuona leo?
hehehehe!kwa msuguri wikiendi tavamia huko!nitabadilisha location ijumaa jioni!then we gonna have a long extended bash!huku nitaaga naenda morogoro ''kikazi'''!pale kwa msuguri gest yao nzuri sana nakumbuka:becky::becky:
 
ngja ni..:A S-smoking::A S-smoking: kidogo maanake stim hamna kabisa kwa mukichwa!....!nina USTIMWI(upungufu wa stimu mwilini)...!hii inapelekea ndoa yangu kuanza kulegalega maanake bila stimu ''ze nidful'' inakuwa under-performed
Fasta fasta.........:car: ovadraivu :tea: kwa vikiiii!!
 
Hili angalizo la wakongwe wenzangu lazima liwekewe angalizo.......Usisahau Asprin ilianza kabla ya hedex......:smile-big:
noted with thanks... lakini hivi asprin si acid pia??
ASPRIN = ACETYL SALICYLIC ACID

OK... OK.... NOW YOU ARE MY SON AS YOUR SURENAME IS ACID.... GO BOY GO!!!!
 
Hii misaada ya j4 sijui inafananaje...
Haya ni madhara ya moja kwa moja ya kukosa chatroom...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom