Heeeeeeelp!!!!!!!!

Fasta fasta.........:car: ovadraivu :tea: kwa vikiiii!!
ee bana eeh!
hapa clouds building kuna :car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car: ya kufa mtu!hawa jamaa kwanini wasitengeneze matuta yao?
...namuona bigirita ofisini kwake YULEEEEEEEEEEE!
 
JS ............shopping theraphy always helps! nenda kajinunulie viatu vya maana .........utapoa mwenyewe hehe

Hata kiatu pair moja kitanituliza mwaya

Nimesoma hapa majuzi kuna mambo ya kwenye ndoto huenda kwa msaaada wa Roho....si wewe ulikuwa mhusika...LOL ( honestly pole, talk to me ur brother)

Eheeeee yeuwomiii Kaizer mbona wataka kuleta ambayo yalikuwa hayapo???? utanisaidia kujibu hiyo kesi mwana wa mwenzio mmmh??????
 
JS are you you?/ni wewe? JS una deka labda shemeji yuko hapa JF unamdekea. JS nayemfahamu sio huyu.

Ni mimi wewe Nguli na hakuna shemeji anayedekewa hapa. Ni mimi JS Originale
 
Ni mimi wewe Nguli na hakuna shemeji anayedekewa hapa. Ni mimi JS Originale

Pole sana kama leo umebeba nguo za mazoezi pitia pale gym tunafanya stretching ya taratibu huku ukisindikizwa na muziki laini kuliko ule wa hyms utatoka kajasho kembamba then utapata nusu lita ya maji ya uvuguvugu then utarudi nyumbani ukifika home pata msosi wako wahi kulala mapema na chelewa pia kuamka.

Maumivu yakizidi kamuone dr.
 
ee bana eeh!
hapa clouds building kuna :car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car: ya kufa mtu!hawa jamaa kwanini wasitengeneze matuta yao?
...namuona bigirita ofisini kwake YULEEEEEEEEEEE!
Nakuomba uningoje!!
 
Pole sana kama leo umebeba nguo za mazoezi pitia pale gym tunafanya stretching ya taratibu huku ukisindikizwa na muziki laini kuliko ule wa hyms utatoka kajasho kembamba then utapata nusu lita ya maji ya uvuguvugu then utarudi nyumbani ukifika home pata msosi wako wahi kulala mapema na chelewa pia kuamka.

Maumivu yakizidi kamuone Bigirita.

Nakuomba umsikilize Nguli!!
 
Nakuomba umsikilize Nguli!!

Ha ha ha ha ha ha :becky::becky:

quote_icon.png
Originally Posted by Nguli
Pole sana kama leo umebeba nguo za mazoezi pitia pale gym tunafanya stretching ya taratibu huku ukisindikizwa na muziki laini kuliko ule wa hyms utatoka kajasho kembamba then utapata nusu lita ya maji ya uvuguvugu then utarudi nyumbani ukifika home pata msosi wako wahi kulala mapema na chelewa pia kuamka.

Maumivu yakizidi kamuone Bigirita.
 
Weye dada si ndie uliesema hawakutafuti? Matatizo yako ni ya kihisia zaidi huo mwili wako unahitaji kufanyiwa kazi kiume zaidi uondokane na hayo maruweruwe. Kwa mara ya pili ni pm tafadhali. Ya kwanza hukurespond
 
Muombe invisible arudishe chat room maana kwenye sread watu watachukua maujanja then wanakupita na 120 kumbe matrio nimetoa mimi!!But now ninakuombea upone nakunywa Maji mengi kama lita 5 a day utapata nafuu!!:A S 8::A S 11::pray2::pray2:
 
Hapo cousin ndio umeniua kabisaaaaa... yaani invisibo alikua anaumwa kichwa, halafu huyu ujauzito.. duh, what a coincidence!! Mmoja kichwa, mmoja mimba

Tumpe pole dogo wetu

Jamani thread hipo sehemu gani: Mapenzi, Mahusiano. Kwa hiyo siyo kichwa, mimba wala mguu kinachomsumbua. Msaada tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom