Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
:cheer2::cheer2::violin::violin::tea::tea::drum::drum::first:Poa. Hivi wewe ni Mkristo Acid???
:cheer2::cheer2::violin::violin::tea::tea::drum::drum::first:Poa. Hivi wewe ni Mkristo Acid???
i am :car::car::car::car::car: to baa mpya!:fencing:
lane::tea::welcome:i am :car::car::car::car::car: to baa mpya!
JS ngoja nikupitie hapo dada yangu mpenzi.
Nisubiri usiondoke tafadhali:welcome:
kwani mimba ni ugonjwa???Hapo cousin ndio umeniua kabisaaaaa... yaani invisibo alikua anaumwa kichwa, halafu huyu ujauzito.. duh, what a coincidence!! Mmoja kichwa, mmoja mimba
Tumpe pole dogo wetu
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.
:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.
:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
Toba!!!Poa. Hivi wewe ni Mkristo Acid???
Hili angalizo la wakongwe wenzangu lazima liwekewe angalizo.......Usisahau Asprin ilianza kabla ya hedex......:smile-big:sasa muzeya, mbona unajipigia pande wakati ntoto haoni kijano, njano wala red label? tena anajipiga kichwa ukutani, si utatoka manundu ndugu yangu?
we shauri yako, usije kesho ukalalamika, nunua hedex in advance
Hako kaujauzito hako Kaizer unakokasema nitakapatia wapi watu hawatangazi nia bana wamegoma...........
.........bar mpya ya wapi? pale kwa msuguri nini? eliza wa tegeta si atashangaa kutokukuona leo?lane::tea::welcome:
duh, kamanda, mimba si ugonjwa ni hali ya mwili, kama vile headache...kwani mimba ni ugonjwa???
ngja ni..:A S-smoking::A S-smoking: kidogo maanake stim hamna kabisa kwa mukichwa!....!nina USTIMWI(upungufu wa stimu mwilini)...!hii inapelekea ndoa yangu kuanza kulegalega maanake bila stimu ''ze nidful'' inakuwa under-performedlane::tea::welcome:
hehehehe!kwa msuguri wikiendi tavamia huko!nitabadilisha location ijumaa jioni!then we gonna have a long extended bash!huku nitaaga naenda morogoro ''kikazi'''!pale kwa msuguri gest yao nzuri sana nakumbuka:becky::becky:.........bar mpya ya wapi? pale kwa msuguri nini? eliza wa tegeta si atashangaa kutokukuona leo?
Fasta fasta.........:car: ovadraivu :tea: kwa vikiiii!!ngja ni..:A S-smoking::A S-smoking: kidogo maanake stim hamna kabisa kwa mukichwa!....!nina USTIMWI(upungufu wa stimu mwilini)...!hii inapelekea ndoa yangu kuanza kulegalega maanake bila stimu ''ze nidful'' inakuwa under-performed
noted with thanks... lakini hivi asprin si acid pia??Hili angalizo la wakongwe wenzangu lazima liwekewe angalizo.......Usisahau Asprin ilianza kabla ya hedex......:smile-big: