Hebu wana jamvi oneni Mzee wetu marehemu Mwl.Nyerere alivyokuwa na maono ya ajabu!

Chaimaharage

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
211
78
Aliweza kuongea ikawa kama vile utabiri wa jambo linalo tusumbua na kutumaliza hivi sasa..

Angalieni hiki kipande cha picha na maandishi.


UTABIRI WA MWALIMU J.K NYERERE.jpg
 
Mkuu yaani hichi kipande kwenye simu ni screen saver!!
 
huyu jamaa alikua kichwa sana..achana na hawa wa siku hizi wanaosema "WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA NI KWA SABABU YA KIHERE HERE CHAO WENYEWE"
 
Mimi sijaona kigeni alichosema Nyerere ila hizo ni facts za kimaisha. Na hayakuanza leo. Munamuabudu sana huyu.
 
Falconer
Mimi sijaona kigeni alichosema Nyerere ila hizo ni facts za kimaisha. Na hayakuanza leo. Munamuabudu sana huyu

Angalao basi alikuwa anaziona hizo facts (au ukitaka kuita "natural laws"). Wengine hawazioni na zitawadhuru muda si mrefu.
 
Mimi huwa nawashangaa watu wasioweza kuwa na fikra huru (Independent minds). Sina matatizo na Nyerere bali matatizo yangu ni wenzetu wasioweza kung'amua ukweli wa wakati.
Mwalimu amefanya mazuri mengi na mabaya mengi tu. Pengine alifanya kwa kujua au kutokujua.
Kama mzanzibari, nitaangalia kwa upande wangu wakizanzibari na kama mtanganyika, mutaangalia kwa upande wenu wakitanganyika. Kwa upande wetu, alikuwa ni mbabaishaji tu. na sababu kubwa nikuwa taifa letu lilikuwa limeendelea sana na alipokuja yeye, maendeeleo yote yaliporomoka.
Sasa kwa upande wenu lazima mumsifie maana yeye ni baba taifa wenu. Yale mnayoona ni maendeleo kwenu, kwetu yalikuwa ni mapungufu. Kuanzia siasa za ujamaa,muungano, JKU, JKT, n.k..
Lakini tukirudi kwenye mada, nipo pale pale, hakuna mpya Nyerere alioleta isipokuwa Umasikini naukosefu wa elimu, tiba, na manedeleo kwa taifa lake.
Too bitter to swallow but those are the facts.
 
Back
Top Bottom