Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Hiyo blog ikipata umaarufu utasikia imeanzishwa na CDM wakati hiyo ndiyo hali halisi iliyopo Bongo.
duh! mzee wa rla kwani tukisema imeanzishwa na ccm ndio mtafurahi?
Hiyo blog ikipata umaarufu utasikia imeanzishwa na CDM wakati hiyo ndiyo hali halisi iliyopo Bongo.
hii ya mama kwenye toroli imenisiktisha sana.... halafu utakuta viazi tu vimekaa kwenye vxv8Picha hizi zinasikitisha sana!
NAJIVUNIA KUA MTANZANIA MZALENDO KWA NCHI YANGU TANZANIA ndugu wana JF kazi ni kazi yangu kazi ya mikono yangu na ufahamu wangu mdogo nawashukuru kunitia moyo nilikua nikihitaji kukosolewa kuelimiswa ukizingatia MIMI nimhitimu wa darasala saba tu hivyo nilihisi kuna makosa napia nawaomba ikiwa mtayaona makosa mnielimishe kazi hii niifanye kwa manufaa ya nchi yangu na KIZAZI KIJACHO CHA TANZANIA.
View attachment 30047
huyu nimoja ya wanao nivutia kulipigania taifa langu.........Frantz Omar Fanon (July 20, 1925 December 6, 1961) was a French psychiatrist, philosopher, revolutionary, and author, born in Martinique. His work remains influential in the fields of post-colonial studies and critical theory. Fanon is kn...own as a radical humanist[1] thinker on the issue of decolonization and the psychopathology of colonization.[2] His works have incited and inspired anti-colonial liberation movements for more than four decades.
Contents
Frantz Fanon was a black man born on the Caribbean island of Martinique, which was then a French colony and is now a French département. He was born into a mixed family background: his father was the descendent of African slaves, and his mother was said to be an illegitimate child of mixed race, whose white ancestors came from Strasbourg in Alsace. Fanon's family was socioeconomically middle-class,[2] and they could afford the fees for the Lycée Schoelcher, then the most prestigious high school in Martinique, where the writer Aimé Césaire was one of his teachers.......................................HASA KWA MSEMO WAKE HUU.............. ‎"Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfil it, or betray it"/Kila kizazi, katika utata wa kipindi chake, lazima kiutambue wajibu wake na kiutekeleze au kiusaliti - Frantz Fanon