michaeljuma1986
Member
- Mar 25, 2012
- 38
- 12
Naombeni tuchangie bila ushabiki.
It is real difficult to know!!! it is the weakness of CCM giving CDM levarage but not CDM standing on its own... kwa sababu today... hakuna wanachama wanaojiunga kwa ideology... not at all... CDM is standing without base for sure it is dangerous... let borrow a leaf rom Mrema...
Unazungumzia nini mkuu? moja ya sera yao ni kurudisha nguvu kwa wananchi, labda kama unamaanisha kwamba hawajajipanga kutawala maeneo ambayo hayana watu, hasa angani!!!!Kila sababu za kushinda wanazo ila moja tu hawajajipanga sawasawa hasa ngazi za mkoa, wilaya na kata. Sera na dhamira zao ni nzuri lakini wakichukua nchi watajipangaje? Watupe mwelekeo.