Hebu angalia wanaopaswa kulipwa kodi ya makalio wanavyojihimu kuupiga usingizi

Huyu Wasira atakuwa anasumbuliwa Na ugonjwa wa MALARE.. Mzee analala kama nini.
 
Kawaida kususa kwa jinsi hii ni hatari! Serikali ilipoamua kujiondoa kwenye biashara wenyewe wanatumia 'hands off' ikafanya makosa makubwa ya kuwa hands and eyes off! Matokeo yake watz wote wanaona jinsi rasilimali za nchi hii zimegeuzwa shamba la bibi. NInachosema hapa ni kwamba hata kama mchangiaji angekuwa magwanda, bado mzee mzima alipaswa kuwa macho.... badala ya kukoroma kwa ajili ya dawa za mafua!
Utakutaka mchangiaji alikuwa magwanda, anachangia utumbo na huyo Mzee akaamuwa kususa!
 
Kawaida kususa kwa jinsi hii ni hatari! Serikali ilipoamua kujiondoa kwenye biashara wenyewe wanatumia 'hands off' ikafanya makosa makubwa ya kuwa hands and eyes off! Matokeo yake watz wote wanaona jinsi rasilimali za nchi hii zimegeuzwa shamba la bibi. NInachosema hapa ni kwamba hata kama mchangiaji angekuwa magwanda, bado mzee mzima alipaswa kuwa macho.... badala ya kukoroma kwa ajili ya dawa za mafua!

Alishatolea ufafanuzi, huo usingizi ulikuwa ni dawa alizokunywa. Huoni hapo kuwa huyu Mzee ni mchapa kazi, hata alipoumwa alijikongoja hivyo hivyo, dawa zilimzidi nguvu, lakini ugonjwa wake hakuuendekeza na alijitahidi. Kwa hilo inabidi apewe sifa.
 
they have nothing to do with me! Ila naona kero kitu hicho hicho kurudiwa kila siku!
Napenda kuona vitu vipya na wala si duplicates!

Hata kama zilikuwa zimekwisha kuwekwa sio vibaya kurudiwa tena na tena maana naamini sio wote waliofanikiwa kuziona mwanzo. Mimi hii imenishitua na kunisikitisha sana kuiona maana ni mara yangu ya kwanza. Kulala usingizi namna hii wakati wa mchana na hasa baada ya kufakamia nyama hatari yake ni kukosa uthibiti wa kuzuia kutoa hewa kupitia mlango wa nyuma
 
Yaani kama kuna siku ambayo Wasirra anatamani ingekuwa deleted kwenye rekodi za dunia ni hii hapa! Naanza kumuonea huruma sasa,imetosha jamani!

Unamuonea huruma kwani ndugu yako huyo! si ndo alisema yeye sio waziri wa mvua, basi sasa minasema yeye ni waziri wa usingizi. Mwangalie kwanza tumbo!
 
kikwete+msibani.jpg

Lowasa anamcheki best wake anavyochapa usingizi mbele ya halaiki. Ukiwa mfalme watu hawakosi kukukodolea macho, hapa umati wote hawajui anayelala usingizi usiku hana muda wa kutumia kitanda hcake?

He he he mkuu wa kaya anachekesha
 
jamani msinichekeshe mtafanya jf ifungiwe jinsi mnavyoweka mambo hadharani.

mkuu wa kaya mngemsitiri kidogo.
 
Back
Top Bottom