Heart broken again

Pole sana masaki, katika maisha ni kawaida kutendwa ni wengi tu wamepitia huko na imekuwa kama ka mchezo huyu anamuumiza huyu, yule nae anaumiza kule basi tu mradi vurugu. Chukulia ni sawa sawa na kuumwa malaria yaani sio kitu cha ajaaaaaaaabu. Jichanganye na marafiki usipende kukaa peke yako utaona baada ya muda mfupi hiyo hali itapita.

Asante Maty...! Hapo kwenye bluu nadhani kutanisaidia sana.
 
Pole sana Masaki, mshukuru Mungu amekuonyesha kabla hujaingia kwenye ndoa, naamini bado hujakutana na mke wako, pia naamini yupo nae anateseka kama unavyoteseka.
 
...dah, waweza jihisi kama umeharibiwa maisha kumbe, 'likuepukalo lina heri na wewe'...usilaumu yaliyotokea, furahia yametokea kabla hujajifunga na pingu ya maisha.

Pole sana bro Masaki.
 
Pole sana masaki, katika maisha ni kawaida kutendwa ni wengi tu wamepitia huko na imekuwa kama ka mchezo huyu anamuumiza huyu, yule nae anaumiza kule basi tu mradi vurugu. Chukulia ni sawa sawa na kuumwa malaria yaani sio kitu cha ajaaaaaaaabu. Jichanganye na marafiki usipende kukaa peke yako utaona baada ya muda mfupi hiyo hali itapita.
...mnnh, maty katika mifano yote umeona malaria kwakuwa yasababishwa na mbu? Haya bana. Bro masaki, 'there is always a light at the end of a tunnel'...ipo siku utakuja shukuru breakup hii ilitokea june 2011. Everything happens for a reason.
 
Pole sana. I real liked that you are not the one who is at fault, and that is my principle in a relationship. i always play my part so that when things do not work out ,should not be the one to blame pamoja na kwamba nitapata maumivu lakini sikuchangia. Pole sana kwa mara ingine,jipe moyo pick up the pieces and move on.
 
Pole kaka.Ndio Maisha.Atakuja wako wa ukweli.wewe Mshukuru Mungu kakuondolea huyo mtu mapema katika stage za mwanzo kuliko mngefunga ndoa na pengine kuwa na watoto then yakukute kama hayo.
 
Dah! Pole sana masaki bt amini yote yanapita2 utasahau na utapata m2 atakayekupnda kiukweli na hatokuumiza kamwe! Pole sana Mungu akusaidie pia.
 
Pole sana mkuu. Soma signature yangu. Uitafakari. Ndo ujumbe wangu kwako. Mungu akuongoze kwenye mwanga.
 
Pole sana Masaki
binadamu katika maisha anapita kwenye mabaya/mazuri................ ni ngumu kukubali unapofikwa na jambo baya ipo siku haya yatapita utakuwa mwenye furaha na amani tele
 
Pole sana!

My advice might not be very good, but probably will help you next time you fall in love....keep room/one door open for disappointment... you might need it one day!

All in all, life has to go on my brother...
 
kuna kiti kuhusu wanawake ni very ajabu

ukijaribu kum protect ndio atazidi kukuumiza

sometimes its better to treat a w.h.o.re like a w.h.o.re

trust me,
ukiendelea kumjali atakufanya kama babayake...hivi
wengine watachezea,halafu wewe ndo utakuja to pick up the pieces..

...akili yangu yataka kukwambia hapana, lakini moyo wanambia upo sahihi kabisa.
Kuna kipindi nilikuwa najifariji na wimbo wa Tupac - 'There You Go!'

Dah! Pole sana masaki bt amini yote yanapita2 utasahau na utapata m2 atakayekupnda kiukweli na hatokuumiza kamwe! Pole sana Mungu akusaidie pia.

...mnh, hiyo kamwe hebu iweke kwanza pembeni. Reservations muhimu, ...otherwise utakuwa hajajifunza alipokosea.
Mapenzi na Ukweli ni somo lililoniumiza vya kutosha maishani.

I hope and am really praying maishani nisijechezewa tena kama nilivyopata chezewa. Sijui reaction yangu itakuwaje kwakweli...hata kufikiria hilo huwa naogopa!....I will love wholeheartedly anyway!

Pole sana!

My advice might not be very good, but probably will help you next time you fall in love....keep room/one door open for disappointment... you might need it one day!

All in all, life has to go on my brother...

pheeewwwww!...mapenzi haya!
 
Last edited by a moderator:
Wawe na busara ya kutambua na kuheshimu hisia zilizopo kwenye mioyo ya wenzi wao! Four years in a relationship have vanished in matter of few days! Worse enough na tarehe ya harusi ilishapangwa. I AM HEART BROKEN AGAIN!! For the second time!! Last time was 2005, I wasted so many years trying to recover and also learn to trust women again. It took time and eventually my heart was softer enought to love again! Now see what I have got from a woman tonight! NOTHING BUT PAIN!!

Thank the LORD 4 THE ABUNDANCE OF EVERYTHING.....................God is trying to tell u something but the question is are you listening?

Do not worry about how many relationships have flopped but consider the pain of marrying someone who is going to hurt you for the rest of your days,,,,,,,,,,,,,,,,,,better face the pain 2day and learn how to cope with the loss rather than having been forced to endure rejection with someone whom shares your bed on daily basis........................and there are many of these despicable characters out there.......

Usiwe na tabia ya kuwaombea ma-ex..............bad luck but wish them a happier ending like in Hollywood movies...............................usipofanya hivyo inaashiria ya kuwa umewawekea kinyongo ambacho kitakuumiza wewe badala ya mlengwa ambaye ataendelea na shughuli zake bila ya kujua majonzi yako........................
 
I can join the rest to say pole, but what i want you to say to uaself confidently infront of the mirror,is "there is one special laddy 4u, whom God 'l make her mywife'say those words mybrother and have faith on that.'a setback is a step for comeback' do not forget that. I pry that ALMIGHTY GOD to give strength to watch foward for ua wife and not suffer 4 a lady who was nt created to be ua wife. Amen
 
Thank the LORD 4 THE ABUNDANCE OF EVERYTHING.....................God is trying to tell u something but the question is are you listening?

Do not worry about how many relationships have flopped but consider the pain of marrying someone who is going to hurt you for the rest of your days,,,,,,,,,,,,,,,,,,better face the pain 2day and learn how to cope with the loss rather than having been forced to endure rejection with someone whom shares your bed on daily basis........................and there are many of these despicable characters out there.......

Usiwe na tabia ya kuwaombea ma-ex..............bad luck but wish them a happier ending like in Hollywood movies...............................usipofanya hivyo inaashiria ya kuwa umewawekea kinyongo ambacho kitakuumiza wewe badala ya mlengwa ambaye ataendelea na shughuli zake bila ya kujua majonzi yako........................

Let her Rot in hell bana,...potelea mbali kinyongo changu,...I HATE HER!
Siwezi semea mtu roho yake, ....uchungu wa kuumizwa labda watofautiana baina ya mtu na mtu
lakini mimi najua machungu yake, Siwezi sahau "the way she made me feel!"

Si umeona MASAKI kakesha usiku kucha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom