Heart broken again

Pole sana rafiki....Ni maombi yangu kwa Mungu kuwa uwe na amani na akupe yule aliye wako.
 
Pole mkuu,
nakushauri hivi
1 kwa vile wanaume wengi ni wazito kueleza lililo moyoni (baada ya kuumizwa) kwa wanaume wenzao wengi hukimbilia kwa w'ke ambao w'ke hao hutumia nafasi ya 'huruma' kuanzisha uhusiano mpya wkt mwingi haudumu
2 w'me wengi hukimbilia kuziba pengo kwa kutafuta m badala . Ni kosa,sawa na kufunga kidonda baada tu ya kuumia kabla hujachunguza vzr na kukisafisha
3 kubali maumivu mpaka yapoe kisha angalia wapi ulikosea
4 msamehe haraka maana baya+baya madhara yake yatakua makubwa na kwa muda mrefu
5 acha ulevi(km mlevi)kwa kipindi hiki kumbuka mapenzi yanapoisha maisha yanaendelea.na mimi yamenikuta bado nina kidonda mkuu tupo wengi
 
...Ubarikiwe sana. Ni saa sita usiku hapa nilipo, hii post imenifariji,
acha nirudi tena kulala.
 
Pole mkuu, kwa flow ya maneno yako napata picha ya kilio chako tokana na maumivu uliyopitia. Mkuu yawezekana ikawa ni bahati mbaya ktk machaguzi yako thats why imejirudia tena! Nakushauri next time ufanye uchunguzi wa kina na dhati juu aina ya penzi, mapenzi na mpenzi umtakae kuepuka hili kujitokeza mara nyingine tena! then fanya evaluation yako mwenyewe, nahis wawezakua na mapungufu pia!
 
Mbu unahitaji faraja ya nini tena wakati we unakula mbivu sasa hivi?!

Pole mkuu, kwa flow ya maneno yako napata picha ya kilio chako tokana na maumivu uliyopitia. Mkuu yawezekana ikawa ni bahati mbaya ktk machaguzi yako thats why imejirudia tena! Nakushauri next time ufanye uchunguzi wa kina na dhati juu aina ya penzi, mapenzi na mpenzi umtakae kuepuka hili kujitokeza mara nyingine tena! then fanya evaluation yako mwenyewe, nahis wawezakua na mapungufu pia!

...najuta kumsoma huyu bwana (i took it personal)...nadhani nilikuwa nime delay some grief...nimekumbuka
kila aina ya usaliti... hili ni kovu...hata kama limepoa, alama imebakia (haifutiki.)

Lizzy kalale,...lol!
 
...najuta kumsoma huyu bwana (i took it personal)...nadhani nilikuwa nime delay some grief...nimekumbukakila aina ya usaliti... hili ni kovu...hata kama limepoa, alama imebakia (haifutiki.)Lizzy kalale,...lol!
Ohhhh pole sana Mbu....ila furahi wewe umeshapata wa kukuliwaza!Hehehehe ....kitanda kina baridi!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...najuta kumsoma huyu bwana (i took it personal)...nadhani nilikuwa nime delay some grief...nimekumbukakila aina ya usaliti... hili ni kovu...hata kama limepoa, alama imebakia (haifutiki.)Lizzy kalale,...lol!
Duh! Pole mkuu Mbu, ni mapitio ya kawaida hususani ktk maisha! Hebu jiliwaze kwa damu zetu teh!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwenye mahusiano yetu mimi nina mikono misafi kabisa...Tamaa zake tu za kupenda mambo makubwa. Hawajui wanaume yule....! Ataachwa mchana kweupe akishachokwa!

was she happy with your relationship? and how did you know??
 
ah we ndugu.si bora mambo yameisha namna hiyo!una heri sana mshukuru mungu.pata picha uko na mimba ya miezi tisa,unagombana na mmeo na anajua uko mjamzito hajali na anafanya kila vurugu hatimaye mtt anakufa na haishii hapo anakuibia na pesa tena nyingi.isitoshe unatoka kwenye matatizo hayo anakufukuza na nyumbani huna pa kwenda coz pesa zote amekuibia.mshukurru mungu rafiki.yangeweza kukukuta mabaya zaidi ya hayo.lkn hao ndio binadamu na wanaishi na wengine wanachangia hoja hapahapa jf.take care?
 
Jipe moyo mkuu katika kutanzua ugumu wa mawaa ya Dunia.
Kuchanika kwa Jamvi sio mwisho wa mazungumzo.
Rudisha majeshi nyuma , tafakari palipokosewa na rekebisha.
Anza safari upya.
Maisha ndivyo yalivyo.
There are allot of Fish in the Pond.
 
Masaki.....................I hope umepata la kupata toka kwa wanajamii humu chumbani. Mwenyezi MUNGU akupe nguvu za kusonga mbele. Lililotokea lichukulie kama ni ngazi towards lililo jema na funzo katika maisha yako ya mahusiano. Ubarikiwe sana kaka yangu.

Mbu, pole!
 
Yaani haya mapenzi kila unapoanza upya unasahau uliopita ulivoumizwa, na hatukomi, kweli hapo ndipo Mungu alipotupatia viumbe wake
 
Umeona shantel? Yaani we acha tu....tunapenda, unaumizwa, unapenda, unaumizwa .........mstari waendelea!! Laiti ingekuwa ukiingia kwenye mapenzi halafu ukaumizwa basi feelings za kupenda nazo zinaondoka milele ingekuwa safi sana lakini unateseka, moyo unapondwa pondwa mpaka unakuwa na viraka kila sehemu.

Jamani.............. ah
 
Nakwambia MJ1 anatokea tena mkaka nakwambia anaongea kwa huruma, na kukuhakikishia yeye ndio dawa ya matatizo yako, unajitosa mzimamzima badae unakuja ona anabadilika na kutenda yaleyale, mwee sijui itakuwaje huko mbelen maana miakainavokwenda ndio hali ya mahusiano ya watu yanazidi dorora
 
Dah Masaki nimesoma mpaka nimelia nakosa cha kuandika kabisa zaidi ya kusema POLE SANA na muombe Mungu akusaidie usikate tamaa maisha tunayoishi huwa yanachangamoto zake so endelea kuomba na kusali sana.
 
Nakwambia MJ1 anatokea tena mkaka nakwambia anaongea kwa huruma, na kukuhakikishia yeye ndio dawa ya matatizo yako, unajitosa mzimamzima badae unakuja ona anabadilika na kutenda yaleyale, mwee sijui itakuwaje huko mbelen maana miakainavokwenda ndio hali ya mahusiano ya watu yanazidi dorora

Shantel yaani hii inatuumiza sana na inawezapelekea ile maneno ya....kupenda mguu ndani, nje..... loh tunajizuia kufungua mioyo na matokeo yake unaishi na mtu kimachale ukiona tu anaanza kubadilika unaufunga huo mlango ulioufungua nusu..... sasa hii sio fair kwa sababu mtu anawezakuwa amebadilika kwa msimu kutokana na mambo mengine lakini bado anakupenda but we zile badiliko wazisoma kama .......ohooo yale yale!
 
...dah, waweza jihisi kama umeharibiwa maisha kumbe, 'likuepukalo lina heri na wewe'...usilaumu yaliyotokea, furahia yametokea kabla hujajifunga na pingu ya maisha.

Pole sana bro Masaki.

Asante mkuu, hapo kwenye bluu pamenifariji sana!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom