Hazina (MOFeA) imekuwa mwiba kwa watumishi wenye uadilifu na kutolewa kafara!

RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Hazina yaani Wizara ya Fedha hivi karibuni au awamu ya pili ya JK imekuwa na chini ya uongozi wa waziri wa fedha Mkullo amekuwa anapatikana na kashifa nyingi sana na sasa amehamia kwa watumishi ambao ni wachapa kazi na kuwa victimize kutokana na misimamo yao.

Mfano Mr. Kamugisha ex-CPAD alitolewa pale hazina kurudishwa TRA na sasa Dr Y. Kayandabila (ex-Asst Commissioner DEbt Analysis) nae katolewa kafala na kupelekwa ITA kutokana na msimamo wake kwa kukataa malipo ya bil 40 za NIDA kutoka kwa Mr. D Maimu.

Je watu wenye uchungu na nchi wako salama hazina?
 
Back
Top Bottom