Hazina imekauka - pensheni za wastaafu zakatwa

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Katika kile kinachoonekana sasa serikali imefilisika, imewakata nusu ya pensheni ya wastaafu ya mwezi February.

Kwa mfano wastaafu wengi hupokea sh 300,000 kila baada ya miezi sita. Sasa wamepewa 150,000/=!.
 
Imenisikitisha sana, yani serikali imeamua kuwanyonya hata hawa wazee! Visenti vyao kidogo halafu vinakatwa, hii ni laana.
 
Laki 3 kila miezi sita,imekatwa tena.Si wangejipunguzia mishahara yao?Sasa wanawakata wazee wa watu just because hakuna wa kuwakingia kifua.
 
babu yangu analalamika sana

Je, babu yako hana mchango kwa yanayotokea?

Nauliza kwani niliwaona wazee wengi wakitoka CCM Kirumba tarehe 5.2.2012 wakionesha uso wa furaha na kushangilia kwa vigelegele haya ndiyo matokeo yake
 
Laki 3 kila miezi sita,imekatwa tena.Si wangejipunguzia mishahara yao?Sasa wanawakata wazee wa watu just because hakuna wa kuwakingia kifua.

halafu hata hawatoi taarifa, hii wizara imemshinda Nkulo. Nasikia bank zimegoma kuikopesha serikali kwa mara nyngne tena. Wafadhili wamegoma. Itafiki kipindi serikali itawakopa wafanyakazi wake kwa kuwakata mshahara.
 
Katika kile kinachoonekana sasa serikali imefilisika, imewakata nusu ya pensheni ya wastaafu ya mwezi February.

Kwa mfano wastaafu wengi hupokea sh 300,000 kila baada ya miezi sita. Sasa wamepewa 150,000/=!.

jk na bajeti ya trilion 11 kwa akili ya kawaidi mtu huwezi ku double budget za ma trilion halaf uendeshe nchi.uchumi alosoma nadhani alibebwa chuo
 
Wazee hawa hawa ndio wanaoipigia dola makofi pale diamond jubilee hall au wengine?
 
Je, babu yako hana mchango kwa yanayotokea?

Nauliza kwani niliwaona wazee wengi wakitoka CCM Kirumba tarehe 5.2.2012 wakionesha uso wa furaha na kushangilia kwa vigelegele haya ndiyo matokeo yake

babu hajachangia hili suala kwa kuwa aliachana na ccm toka 2010
 
nani aliwaambia wapunguze kodi kwenye migodi.?

Mkuu sio kwenye migodi tu! Wawekezaji wote asilimia kubwa ya mali zao wanaagiza duty free lakini wewe mlalahoi ukiagiza kamtumba kutoka japan utapangiwa bei ya kununua kama kwamba hakuna mitandao inayoonyesha bei !
 
Back
Top Bottom