Hayawi Hayawi, yamekuwa!...Safari ya Tanga ni kesho 28/12/2012

Hivi leo ukoje wewe Filipo?

Wanakuja kulala kwangu ili iweje?

Unataka kuniudhi sasa...lol!!

Babu DC!!

Waweke servant quarter walale ili wasitusumbue sie na wake zetu! Wajukuu hawa wasumbufu sana, lazima tufikirie namna ya kulinda ndoa zetu!
 
Last edited by a moderator:
King Kong III itabidi watoto watakaozaliwa mwakani wakati kama huu wote wapewe majina hapa hapa jamvini.

Pigeni mapicha ya kukinga,sasa hyo tar 28 si siku ya kazi au nyie wote mmejiajiri au mmeomba likizo ya wiki? Angalieni msije mkasaliti relation zenu na wapenzi mliowaacha nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
Waweke servant quarter walale ili wasitusumbue sie na wake zetu! Wajukuu hawa wasumbufu sana, lazima tufikirie namna ya kulinda ndoa zetu!

Bora hapa umeongea kwa adabu....

Sijui ulikuwaje hapo awali.....

Please siku zote kumbuka kuwa huyu unayongea naye ni retireg Maj Gen, ....sawa Filipo??

Mkumbushe na Lily Flower kuwa huku wengi wetu ni nyuki wa bucha...lol

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji huyu mke wa kwanza ni noma ana wivu huyooo, wengine hawa ningeweza kuwapiga sound
 
Last edited by a moderator:
King Kong III itabidi watoto watakaozaliwa mwakani wakati kama huu wote wapewe majina hapa hapa jamvini.
Ha ha haaa!
Unataka waitwe majina yafuatayo?
1.Ban Rutabanzibwa
2.PM Mushi
3.NewThread Issa Ponda
4. Report Abuse Mwakifulefule
5.Like Shonza
6.JF Senior Member Maige
7.New Post Mapunda
8.Join Date Kiwengwa
9.Quote Shabani Madobe
10.Avatar Mahenge
11. Jamiiforums Nyanda
12. Chit-Chat Hamis Majaliwa
13. MMU Kamhabwa.
14.Home Of Great Thinkers Mponda.

Navyopenda safari nimetamanijeeee

All the best peoplesssS

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bora hapa umeongea kwa adabu....

Sijui ulikuwaje hapo awali.....

Please siku zote kumbuka kuwa huyu unayongea naye ni retireg Maj Gen, ....sawa Filipo??

Mkumbushe na Lily Flower kuwa huku wengi wetu ni nyuki wa bucha...lol

Babu DC!!

Umechelewa kunielewa Babu! I want to be free with my wife marejesho kipindi chote nitakachokuwa Tanga. Better to put them hata banda la uani tu!
 
Attachments

  • hug 2.png
    hug 2.png
    18.4 KB · Views: 50
Last edited by a moderator:
hii safari inakuaje mhudumu wa vinywaji sina taarifa nitamwambia babu awanyime juice ya miwa na madafu
 
Back
Top Bottom