hayati

Yaani we acha tu, huyu Mzee damu yake itawalilia wengi tu. Amini nikuambiayo, haipiti maika kumi wale wote waliomkejeli watakuwa wako Rumande.
Adhabu ni hapa hapa duniani!
Mobutu alimwondoa Patrice Lumumba, akala anasa, lakini kafia kijijini huko Morocco.......
Idd Amini, kafia Utumwani Arabuni.....
Mungu yuko nasi, subiri tu, ni swla la Muda!
 
Baba wa watu alikuwa physically fit kumbe alikuwa anaendeshaga na baiskeli apart from kilimo kujiweka fit. Kama sio ile kansa ya kupandikizwa na mafisadi ili wamuondoe ungekuta hadi leo mzee wetu anadunda. RIP Nyerere, tanzania imeoza kuliko jehanamu.
 
Inanikumbusha mbali sana,laiti angekuwepo mambo yasingekuwa kama ilivyo sasa.RIP MWL J K NYERERE
 
tukiacha mambo ya siasa huyu mzee ndo aliyeleta mapinduzi ya wajanja wa mjini kujivunia kuzaliwa mjini....aliingia dar kama mgeni toka butiama nyota ikawaka wakali wa enzi hizo kina sykes wakaenda kama makiza....julius ni mkare!
 
Sio tu kiwanda cha 'swala', uliza kiwanda cha magari 'nyumbu', karakana ya kuchonga vipuri vya kila aina iliyoko mang'ula, zana za kilimo (zzk) mbeya[kilimo kwanza hapa vipi?!!!!], mashamba ya nafco, tanganyika parkers, mashamba ya katani, n.k.

uuuuuuuuuuuuuwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Imenikumbusha kile kiwanda chetu cha "Swala", hivi kilifia wapi?:redfaces:

Kwani kuna kiwanda alichoanzisha au alichotaifisha Nyerere kiko hai mpaka leo bila kuwa na mwekezaji binafsi ama wa nje ama wa ndani?
 
Weka nyingine yaani ? umenigusa mbaya. wa sasa hawezi wana hofu watu wamekunja sura . unaweza kuingia ndani ya zoo ,......ukamkamata simba mkia hata angeweza natoa ofa nikimwona tu ! tz itakuwa yetu si unajua mwenye tz anakamilisha mkataba au umesahau?
 
Back
Top Bottom