Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.
Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.
Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.
Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc
Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..
Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.