Hayati Rais Magufuli alipata wapi fedha za kujenga barabara upya barabara karibia zote Dar es Salaam

Ila kiukweli wafuasi wengi wa Magufuli ni mazezeta walimuamini sana kila anachosema hata ujenzi wa flyovers na madaraja ya baharini yote alijidai ni juhudi zake wakati vyote vilifanikishwa na JK lakini ujenzi ulikuja kufanyika wakati tayari Magufuli ameingia madarakani hata airport alijidai kujenga yeye tena kwa kujigamba sana na kutukana wenzake waliomtangulia.
Lilikuwa jitu la ovyo sana.
 
Kwa uongo, miaka miwili mmefanya nini?
 
Alijenga kwani fedha zake?

Hata Mentor Mzee wa Lupaso alimshauri kuacha hiyo serikali yangu,fedha zangu akamkumbusha kusema ni serikali ya CCM.
Alisimamia veyma mapato ya serikali
 
MPs rap Local Gov’ts over USMID municipality projects​

Reagan%20Okumu.jpg

Posted on:
23 May 2018
Members of Parliament of the Public Accounts Committee (Local Governments) were shocked to learn about Tanzanian local government’ utilisation of Word Bank funding on the urban infrastructural development, compared to what they described as the Uganda’s ‘dismal performance’.
Led by the Chairperson Hon. Reagan Okumu, the legislators were in Tanzania on a bench marking visit to the urban local authorities strengthening projects funded by the World Bank. This is the equivalent of the Ugandan Support Municipal Infrastructure Development Project (USMID). The Committee was in Tanzania from 13 to 19 May 2018.
The Government of Uganda through the Ministry of Lands and Urban Development, acquired a loan of US$150 million from the World Bank to support infrastructural development and capacity building in 14 municipalities.
On seeing the Tanzania’s progress, Okumu had no kind words for Ugandan Officials. He appealed to them to be nationalist and avoid being corrupt so that they can complete projects with a high level of efficiency and value for money.
“We are generally impressed with our Tanzania counterparts; they have gone further and used their money well. They have developed bus terminals connecting to concrete roads, have good asphalt tarmac roads and they have been able to establish laboratories??? and office structures that will be handed over to every municipality after all projects are concluded, “ Okumu said.
Hon. Godfrey Onzima (Aringa North) attributed the Tanzanian success to the proper planning by project implementers and contractors. He commended them for the early preparations and sticking to their plan, which has registered great success in ther first phase.
“Tanzanians know where their country should go and are committed to their work. They stick to and focus on their plans, and that is why their first phase is ending so successfully unlike in Uganda where Soroti, Mbale, Moroto, Tororo and Fort-portal plans were all altered with,” he said.
Hon. Rehema Watongola (NRM,Kamuli Municipality) attributed the successful implementation of the projects to the procurement systems which were fully decentralised, enabling entities to procure different services. She called on the Ugandan government to emulate the same practices.
“In Uganda, the procurement structure is only at the national level, and this cannot give them the opportunity to monitor properly. We hope that the support team in Uganda will be able to structure themselves from the bottom up” she said.
Okumu appealed to the Government and municipalities to adopt the committee recommendations especially as they prepare for the second phase of the World Bank funded projects that will begin in July.
Members of the committee visited Tanzania's Bus Rapid Transport (BRT) in Dar es Salaam, Road works in Morogoro and Revenue enhancement projects in Dodoma, all financed under the arrangement, with the main focus as infrastructure improvement in municipalities, sewerage management, capacity building, availability of tools and equipment in areas of survey and engineering and testing the quality of materials used.
Hizi fedha zingekuja sasa zingepigwa kama kawa
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031
Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project- DMDP).
Start Date: 2012-07-01.
End Date: 2020-06-30.
Ilala: 43,242,117,826.00
Kinondoni: 63,938,175,211.00
Temeke: 72,804,468,467.00
Funding: IBRD/IDA

Mpeni sifa anayestahili ambaye ni Jakaya Kikwette na Waziri wake Mama Tibaijuka.

Acheni kumtukuza MAREHEMU tunajuwa alikuwa anapenda MASIFA
 
Isingekua marehemu, hizo pesa zingeninua magari na kujilipa posho. Unadhani huko nyuma pesa zilikua haziji?
 
Ila kweli jiji dar barabara limetelekezwa mchamgo wa dar ktk kodi haviemdani na ujenzi wa barabara! Juzi nimetoka mji wa Moshi ni mkeka lami kila mahali hddi unauliza wakazi wa dar wameikoea nini serikali?
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031
Mwacheni Mama Maridhiano anafungua nchi!!
 
Watakwambia aliwabana wezi na mafisadi ukiwauliza alifungwa fisadi gani? Na alibadilisha sheria gani ya kuudhibiti huo ufisadi wanaishia kukwambia umelamba asali au una vyeti feki
Misukule ya marehemu tabu tupu. Yalilishwa propaganda yakajaa
 
Kwa uongo, miaka miwili mmefanya nini?
Kufanya kitu kwako ni kujenga barabara na kununua ndege tu? What if nikakujengea ghorofa na kukufungulia biashara then nikawa namkula mkeo na watoto wako? Utajidai una maendeleo?
 
Isingekua marehemu, hizo pesa zingeninua magari na kujilipa posho. Unadhani huko nyuma pesa zilikua haziji?
Kwa hiyo sasa ushapata jibu la alikozipata pesa hizo huyo Jiwe.
Yaani hakutafuta ht sh. 10 alizikuta
 
Isingekua marehemu, hizo pesa zingeninua magari na kujilipa posho. Unadhani huko nyuma pesa zilikua haziji?
Kwa hiyo hizo barabara zilizojengwa huko nyuma wakati wa Mwinyi na Nyerere na Mkapa na Kikwete zilijengwaje? Nyie wapumbavu manomuabudu Magufuli msituaminishe kuwa Tanzania kama ilianza mwaka 2015
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031

Acheni Propaganda kwani sasa hivi barabara Hazijengwi ????
 
Ila kiukweli wafuasi wengi wa Magufuli ni mazezeta walimuamini sana kila anachosema hata ujenzi wa flyovers na madaraja ya baharini yote alijidai ni juhudi zake wakati vyote vilifanikishwa na JK lakini ujenzi ulikuja kufanyika wakati tayari Magufuli ameingia madarakani hata airport alijidai kujenga yeye tena kwa kujigamba sana na kutukana wenzake waliomtangulia.
Lilikuwa jitu la ovyo sana.
Kwann sasahivi huo ujenzi wa jk haufanyiki
 
Back
Top Bottom