Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,939
4,116
Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini

Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri

Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais

Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu

Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!

Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?

Hii hapana

JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!

Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kana kwamba nao ni viongozi wetu, sisi kama Taifa, yatupasa tuliweke jambo hili sawa!

Kwamba, tukipata Rais, basi hata watoto wake wawe sehemu ya uongozi wa mzazi wao na au itambulike kuwa, (baba/mama)yao ndiyo kiongozi wetu, watoto wao wawe kama watoto wa mkurugenzi ama kiongozi yeyote yule

Tumpigie kura mtu fulani, badala ya yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake ambao nao anataka wawe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe kwa hao? Huku ni kukosa soni!

Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
 
Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Mseven huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wananafasi gani hapo serikarini

Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri

Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais

Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu

Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watotobnao wanataka kuwa ndo kama ni makamo wa Rais?

Hii hapana

JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Doto James alikuwa ni mtoto wa dada, “anko ni mama” huu msemo unaujua?
 
Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Mseven huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wananafasi gani hapo serikarini

Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri

Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais

Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu

Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watotobnao wanataka kuwa ndo kama ni makamo wa Rais?

Hii hapana

JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Udikteta hadi nyumbani, pia nyumba ndogo kama zote!
 
Sasa si bora Magufuli Kuna watu watu wengine wanaamini The late Mkapa hana watoto kabisa.
 
Mtu ili ujilikane unabidi kuwa na mchango chanya katika Jamii na Taifa kwa ujumla.

Unaweza kuwa wewe baba yako ni rais Ila kwakuwa hauna impact chanya katika Jamii Basi hakuna mtu utaendelea kukuzingatia.

Mtu Kama Joel Nanauka mnamuonaje je? Angekuwa ndio mtoto wa rais watu wasingemzingatia.
 
Back
Top Bottom