Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,305
- 94,994
Si tunaambiwa kwamba Mrisho alikuwa mkulima tu hapa Msoga?
Ndio alikuwa mkulima...na uwezo mwingine wa ziada uliomsaidia Kambarage
Si tunaambiwa kwamba Mrisho alikuwa mkulima tu hapa Msoga?
Awapi kwamba wenzie wangefanya vibaya kuliko yeye?Tuliokuwa ndani ya UV CCM wakati huo tunafahamu mengi sana
kama Mama Anna Makinda angeamua kuandika kitabu au kuandika ya nyuma ya pazia angeliandika vyema sana hili
Mwalimu alimwita Anna Makinda na kuna ujumbe aliotumwa binafsi kwa Jakaya na JK kabaki na siri hiyo nadhan hajawahi kuiweka hadharan aliambiwa nini na Anna Makinda
ni kama vile Mama Getrude Mongela alipopewa ujumbe rasmi na Mwalimu ampelekee Ndugu Ally Hassan Mwinyi 1985 muda mchache kabla ya uchukuaji fomu
Siasa ina mengi sana
Hatujui kwanini Jakaya baada ya kushinda kwny CCM 1995 iliamriwa kura zipigwe tena na baada ya hapo akaomba fursa azungumze japo vijana wenzie tulitamani agome
JK alikuwa Makonda wa Mwl Nyerere kwa mliokuwa hamjui
ndie alikuwa Katibu wa vikao vyote vya vita ya Kagera
ndie alietumwa kumshawishi Salim agombee Urais
ndie alie deal na Kighoma Malima n.k
pengine alipewa maelekezo maalum kuhusu Monduli maana hata Edward Moringe alitajwa sana kuwa Mrithi wa Mwalimu na ikashindikana
Hayati Jaka Mwambi aliekuwa Balozi wetu Russia na Msiri wa JK angeweza kuandika kitabu kizuri kuhusu Siasa za Wanamtandao
Huwezi kuzungumza rafu na makando kando ya Wanamtandao bila ya kuwataja Viongozi wa Wanamtandao
JK angelegea na kuruhusu kuachia Nchi wana Mtandao angelaaniwa na kila kiumbe kinachopata sunlight
Binafsi nimejikita jinsi Kikwete alivyoshughulikia fisadi mkubwa Proffessor Kighoma Malima waziri wa fedha muislamu mwenzie aliyekuwa fisadi mkubwa akijificha kwenye uswalihina wa Kiislamu Kikwete akamgundua kuwa yule fisadi anajificha kibla na misikitini akifisadi mbio anakimbilia misikitini na kujifanya imamu akiporomosha Aya za Allah kwa waislamu wanavyoonewa Tanzania Wakati pesa za kifisadi tayari zimeingia Akaunti zake nje ya nchiIlikuwaje kwenye uongozi wake akakumbwa na kashfa za ufisadi mkubwa?
Escrow, Richmond, umeme wa Tegeta ile 300B?
Jk alivyo deal na Kighoma, Nyerere hakuwa kwenye madaraka, Raisi alikuwa Hassan, hivyo JK kuwa Makonda wa Awamu ya Nyerere hiyo haipo.Tuliokuwa ndani ya UV CCM wakati huo tunafahamu mengi sana
kama Mama Anna Makinda angeamua kuandika kitabu au kuandika ya nyuma ya pazia angeliandika vyema sana hili
Mwalimu alimwita Anna Makinda na kuna ujumbe aliotumwa binafsi kwa Jakaya na JK kabaki na siri hiyo nadhan hajawahi kuiweka hadharan aliambiwa nini na Anna Makinda
ni kama vile Mama Getrude Mongela alipopewa ujumbe rasmi na Mwalimu ampelekee Ndugu Ally Hassan Mwinyi 1985 muda mchache kabla ya uchukuaji fomu
Siasa ina mengi sana
Hatujui kwanini Jakaya baada ya kushinda kwny CCM 1995 iliamriwa kura zipigwe tena na baada ya hapo akaomba fursa azungumze japo vijana wenzie tulitamani agome
JK alikuwa Makonda wa Mwl Nyerere kwa mliokuwa hamjui
ndie alikuwa Katibu wa vikao vyote vya vita ya Kagera
ndie alietumwa kumshawishi Salim agombee Urais
ndie alie deal na Kighoma Malima n.k
pengine alipewa maelekezo maalum kuhusu Monduli maana hata Edward Moringe alitajwa sana kuwa Mrithi wa Mwalimu na ikashindikana
Hayati Jaka Mwambi aliekuwa Balozi wetu Russia na Msiri wa JK angeweza kuandika kitabu kizuri kuhusu Siasa za Wanamtandao
Huwezi kuzungumza rafu na makando kando ya Wanamtandao bila ya kuwataja Viongozi wa Wanamtandao
JK angelegea na kuruhusu kuachia Nchi wana Mtandao angelaaniwa na kila kiumbe kinachopata sunlight
Nyerere alivyozima hoja ya Serikali tatu chini ya G55 ambayo ilishamshinda Mwinyi na Malecela alikuwa Rais?Jk alivyo deal na Kighoma, Nyerere hakuwa kwenye madaraka, Raisi alikuwa Hassan, hivyo JK kuwa Makonda wa Awamu ya Nyerere hiyo haipo.
Peku amaWakati huo magufuli anachunga ng' ombe chato
Kwenye hiyo hotuba Jakaya aliongea nini? Mbona unatupa kazi ya kupatwa hisia bila sababu🤣Niliona Ile hotuba kupitia TBC baada ya Mkapa kutangazwa mshindi 1995 Kikwete aliongea hotuba Moja mzuri sana. Kiasi Cha kufanya Mwalimu Nyerere asimame kupiga makofi na ukumbi mzima ukamfuta Nyerere kusimama na kupiga makofi. Marehemu Mkapa akakimbia kwenda kumkumbatia Jakaya kwa hisia kali kama mtoto anayenyonya aliyekosa kumuona mama yake siku mbili. Jakaya was matured but at that time Nyerere alikuwa sahihi juu ya kumpa Marehemu Mkapa. Jakaya alihitaji kukua zaidi.
Niliona Ile hotuba kupitia TBC baada ya Mkapa kutangazwa mshindi 1995 Kikwete aliongea hotuba Moja mzuri sana. Kiasi Cha kufanya Mwalimu Nyerere asimame kupiga makofi na ukumbi mzima ukamfuta Nyerere kusimama na kupiga makofi. Marehemu Mkapa akakimbia kwenda kumkumbatia Jakaya kwa hisia kali kama mtoto anayenyonya aliyekosa kumuona mama yake siku mbili. Jakaya was matured but at that time Nyerere alikuwa sahihi juu ya kumpa Marehemu Mkapa. Jakaya alihitaji kukua zai
Mbele za watu alijiweka na kuaminisha watz muadilifu sana,kumbe janja janja tuHuo ujanja ujanja ndio ulimfanya kuogopwa na kila mtu kule chamani hata baada ya kustaafu,idadi ni kubwa,Malechela,Kolimba,Seif Sharif Hamad,EL,JK ni waathirika wa ujanjaujanja wake.
Unachuki binafsi wte awe na sababu za kuwachukiaNaona zimeanza kugeuzwa stories baada ya hayati kutajwa na kila mtu kua hakua na ubaya wala usaliti. Zimefufuliwa makala za kumsafisha aliechafuka kwenye msiba.
Kiukweli hata Mkwere mwenyewe moyo na nafsi vinamsuta kwa aliyoyafanya kwa Lowassa..
Waliyafanya kwa Mkapa,akaja akayafanya kwa Lowassa, nafikiri pia akayafanya kwa Magufuli.
Sio kwel mgombea wa mwalim alikua Ahmed salim baada ya mkapa kumfuata kumueleza kuwa anautaka urais basi mwl akaona amuunge mkono kwasababi alikua Hana makundi wala makando kandoHuu uongo wa kitoto sana.BMW alikuwa ni kipenzi cha mwalimu kwa urais wa JMT baada ya Dr Salim,hiyo sababu dhahania haiwezi kutosha kumuondoa BMW moyoni mwa mchonga
Umeeleza vyema sana mkuuTuliokuwa ndani ya UV CCM wakati huo tunafahamu mengi sana
kama Mama Anna Makinda angeamua kuandika kitabu au kuandika ya nyuma ya pazia angeliandika vyema sana hili
Mwalimu alimwita Anna Makinda na kuna ujumbe aliotumwa binafsi kwa Jakaya na JK kabaki na siri hiyo nadhan hajawahi kuiweka hadharan aliambiwa nini na Anna Makinda
ni kama vile Mama Getrude Mongela alipopewa ujumbe rasmi na Mwalimu ampelekee Ndugu Ally Hassan Mwinyi 1985 muda mchache kabla ya uchukuaji fomu
Siasa ina mengi sana
Hatujui kwanini Jakaya baada ya kushinda kwny CCM 1995 iliamriwa kura zipigwe tena na baada ya hapo akaomba fursa azungumze japo vijana wenzie tulitamani agome
JK alikuwa Makonda wa Mwl Nyerere kwa mliokuwa hamjui
ndie alikuwa Katibu wa vikao vyote vya vita ya Kagera
ndie alietumwa kumshawishi Salim agombee Urais
ndie alie deal na Kighoma Malima n.k
pengine alipewa maelekezo maalum kuhusu Monduli maana hata Edward Moringe alitajwa sana kuwa Mrithi wa Mwalimu na ikashindikana
Hayati Jaka Mwambi aliekuwa Balozi wetu Russia na Msiri wa JK angeweza kuandika kitabu kizuri kuhusu Siasa za Wanamtandao
Huwezi kuzungumza rafu na makando kando ya Wanamtandao bila ya kuwataja Viongozi wa Wanamtandao
JK angelegea na kuruhusu kuachia Nchi wana Mtandao angelaaniwa na kila kiumbe kinachopata sunlight
Wazanzibar unawajua kweli ww au una wasikia tu hawawezi kufanya kitendo hicho hata siku moja fitn kubwa wanamtandao walisema mwarabuSalim angeshika Uraisi wa muungano Bila shida fitna za Wazanzibari wenzie ndio zilizuia
Nyerere alimpenda sana tu fitna zilitoka Zanzibar waliogoma kumuunga mkono vikao vya CCM Dodoma
Nahisi japo sina uhakika kuwa Wewe ni kijana na pengine 2007 wakati wa kashfa ya Richmond ulikuwa mdogoAwapi kwamba wenzie wangefanya vibaya kuliko yeye?
EL alitoa wapi mpunga mrefu mapema hivyo?Taarifa zikamfikia mwalimu Nyerere kuwa kijana Lowassa anagawa pesa kama njugu na amekodi ndege..
Kaka Pohamba endelea kutupa Historia.Tumeshazika sasa tunajibu hoja kwa hoja
Walioshadadia Kashfa ya Monduli
1) Freeman Mbowe
2) Godbless Lema
3) Chrstopher Ole sendeka
4) Anne Kilango Malecela
wote hawa wanatokea unapotokea Wewe mbaguzi
au wakati wa Kashfa ya Richmond mlikuwa bado wadogo
Waliotupiwa zigo la Monduli walifanyie kazi walikuwa Home boy ambao leo ndio hao hao wanalalamikia wakwere walivyokuwa akili nusu Mlingoti
hao hao ndio walikuwa wanamtukana Mkwere kuwalinda wana mtandao!
Mwanasiasa Mahiri na madhubuti lazima uwe mtulivu, akili nyingi sana na mvumilivu na sifa zote hizo Adui yenu mkuu anazo
Sifa kubwa sana ambayo Mkwere na Mzee wa Monduli pamoja na kutofautiana walikuwa nayo ni kutopenda kulalamika lalamika
ukim snitch anaku snitch na wakikutana kila mmoja anajibu am fine
Walimzunguka Bosi kwny Richmond nae akawapelekea moto kwa kutumia hiyo hiyo Richmond
walipotolewa nje ya Game wakaunda magenge mengi sana ya hujuma hadi migomo mikubwa mikubwa akapiga kimya akawasubiri 2015 akala kichwa
Wakahamia upande wa pili wamuoneshe show kwa kuwa wana watu na pesa nae akawaonesha ana akili na dola wakamalizana kibingwa
na wote hawakuwahi kulalamika hadharan
Kitu cha kujivunia Jk alisikiliza kilio cha Wengi cha kulipasua Kundi lake la Wanamtandao
2017 alimtumia Mzee wa Kundi Samwel Sitta kumpumzisha Ngoyai na 2010 akatumia nguvu na ushawishi wa Ngoyai kupitia NEC kuweka vipengele cha Jinsia kumpumzisha Uspika Mzee Sitta
2011 akamtumia aliekuwa Mwanamtandao wa Mzee Sumaye Ndugu Nape akampa Ukatibu wa Itikadi akaanza ku deal na mapacha watatu na Tajiri wa Igunga akavua jezi
na 2015 akakamilisha madaraka yake kwa kuhakikisha Wanamtandao hawapo tena kama kundi
Pamoja na tofauti zote na rafu zote za Siasa hakuwa na muda kuhujumu uchumi au biashara ya Mtu japo alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo
alijua Michezo ya Siasa itaishia kwny Siasa sio kutafutana kwenye Bank Accounts na Assets za mtu
Watu mmeiva,,Tumeshazika sasa tunajibu hoja kwa hoja

Mengi sana...na yapo yaliyomuumiza sana lakini akavumilia na hakuwa na kisasi. Jakaya ni mstahimilivu sana. Amepitia mengi na ameyatatua kwa busara.Ile hotuba na reaction ya Nyerere ndio kinanifanya mpaka Leo kusema "KIFUA CHA JK KIMEBEBA MENGI SANA YA NCHI HII YA NDANI SANA"