darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,782
- 17,069
Na hili wengi hawalifahamu. Hata marehemu JPM kuna kipindi alikuwa anaropoka kuwa Kikwete alimlazimisha kuchukua fomuKwa hiyo tuseme toka moyoni jk chaguo lake ama mbadala wake alikua Jpm?

Maelezo sahihi haya! Shukran.Ni vema kuweka records Sawa.
1995 majina matatu yalipelekwa mkutano mkuu.
Wagombea walikuwa
Cleopa Msuya (Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais)
Benjamin Mkapa (Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
Jakarta Kikwete (Waziri wa Fedha)
JK aliongoza kwa kura akifuatiwa na BWM na Msuya akawa wa 3.
Katiba ya CCM ilitaka mshindi awe na zaidi ya 51%, kitu ambacho JK hakufikisha.
Ni uongo kuonesha JK alionewa.
Ndio maana aliposhinda kwa wingi wa kura 2005 kwa kuwabwaga SAS na Mark Mwandosya, alikuja na kauli..."safari hii, kura zimetosha".
Hoja za wazi ni vema zikajengewa hoja kwa uwezi maana kumbukumbu za 1995 tunazo.
Wasalaam!
Hiyo ni kweli Mkapa alianza kubadilika awamu yake ya pili !Mkapa was a bit clean sema yule mama wa kichaga alikuwa anamwambia acha ufala wewe piga dili mzee
Najua hauna kumbukumbu za idadi halisi ya kura alizopata kila mgombea zaidi ya kutajiwa fulani kapata asilimia fulani na hujawahi kujiuliza kwa nini?Ni vema kuweka records Sawa.
1995 majina matatu yalipelekwa mkutano mkuu.
Wagombea walikuwa
Cleopa Msuya (Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais)
Benjamin Mkapa (Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
Jakarta Kikwete (Waziri wa Fedha)
JK aliongoza kwa kura akifuatiwa na BWM na Msuya akawa wa 3.
Katiba ya CCM ilitaka mshindi awe na zaidi ya 51%, kitu ambacho JK hakufikisha.
Ni uongo kuonesha JK alionewa.
Ndio maana aliposhinda kwa wingi wa kura 2005 kwa kuwabwaga SAS na Mark Mwandosya, alikuja na kauli..."safari hii, kura zimetosha".
Hoja za wazi ni vema zikajengewa hoja kwa uwezi maana kumbukumbu za 1995 tunazo.
Wasalaam!
Rejea hotuba za MagufuliKwa hiyo tuseme toka moyoni jk chaguo lake ama mbadala wake alikua Jpm?
Kama wewe unazo kumbukumbu, weka hapa, ili kuni-prove wrong.Najua hauna kumbukumbu za idadi halisi ya kura alizopata kila mgombea zaidi ya kutajiwa fulani kapata asilimia fulani na hujawahi kujiuliza kwa nini?
Siyo JK alihusika hapo. Ni UK na kuna sababu za ugomvi kati ya UK na Kighoma.Ni kweli alimshughulikia Kighoma Malima barabara
Ufisadi fisadi wa kwanza mkubwa alikuwa waziri alikuwa Kighoma Malima mtu wa swala Tano ila fisadi hatari na sigda yake usoni na swala Tano akiwa waziri wa Fedha mikashfa kibao ya kifisadi
Raisi Mwinyi akaona atafute mtu serious kweli akampa Kikwete uwaziri wa fedha na akamtoa Kighoma Malima na akampa Kikwete , Kikwete alimshughulikia barabara bila kujali ni mtu wa Pwani mwenzie au Muislamu mwenzie account zake nje alikoficha pesa Kighoma Malima alisafiri hija kumbe anaenda kutaka kukimbia nchi akatoe pesa kule kaweka nje akaenda hija na nyumba ndogo bi mdogo kisha akaenda huko ulaya atoe pesa wale maisha ulaya huko akakuta Kikwete waziri wa fedha kazipiga pin Akaunti Zote hakuna pesa ya kutoa
Akapata presha akafa wakarudisha kuzika Tanzania Kwa hasira familia yake waliogoma hawakutaka Serikali ihusike Hadi Mwanawe mkuu wa mkoa Sasa hivi alitorokea upinzani
Kikwete ndio alikuwa waziri wa kwanza Enzi hizo kupambana na fisadi mkubwa Malima aliyekuwa waziri wa fedha Kabla yake
Kwa Hilo apewe hongera na maua yake
Kando ya Kambarage. Mkwere ni nguli wa siasa za Tanzania watoto wadogo hawawezi kulielewa hili.Tumeshazika sasa tunajibu hoja kwa hoja
Walioshadadia Kashfa ya Monduli
1) Freeman Mbowe
2) Godbless Lema
3) Chrstopher Ole sendeka
4) Anne Kilango Malecela
wote hawa wanatokea unapotokea Wewe mbaguzi
au wakati wa Kashfa ya Richmond mlikuwa bado wadogo
Waliotupiwa zigo la Monduli walifanyie kazi walikuwa Home boy ambao leo ndio hao hao wanalalamikia wakwere walivyokuwa akili nusu Mlingoti
hao hao ndio walikuwa wanamtukana Mkwere kuwalinda wana mtandao!
Mwanasiasa Mahiri na madhubuti lazima uwe mtulivu, akili nyingi sana na mvumilivu na sifa zote hizo Adui yenu mkuu anazo
Sifa kubwa sana ambayo Mkwere na Mzee wa Monduli pamoja na kutofautiana walikuwa nayo ni kutopenda kulalamika lalamika
ukim snitch anaku snitch na wakikutana kila mmoja anajibu am fine
Walimzunguka Bosi kwny Richmond nae akawapelekea moto kwa kutumia hiyo hiyo Richmond
walipotolewa nje ya Game wakaunda magenge mengi sana ya hujuma hadi migomo mikubwa mikubwa akapiga kimya akawasubiri 2015 akala kichwa
Wakahamia upande wa pili wamuoneshe show kwa kuwa wana watu na pesa nae akawaonesha ana akili na dola wakamalizana kibingwa
na wote hawakuwahi kulalamika hadharan
Kitu cha kujivunia Jk alisikiliza kilio cha Wengi cha kulipasua Kundi lake la Wanamtandao
2017 alimtumia Mzee wa Kundi Samwel Sitta kumpumzisha Ngoyai na 2010 akatumia nguvu na ushawishi wa Ngoyai kupitia NEC kuweka vipengele cha Jinsia kumpumzisha Uspika Mzee Sitta
2011 akamtumia aliekuwa Mwanamtandao wa Mzee Sumaye Ndugu Nape akampa Ukatibu wa Itikadi akaanza ku deal na mapacha watatu na Tajiri wa Igunga akavua jezi
na 2015 akakamilisha madaraka yake kwa kuhakikisha Wanamtandao hawapo tena kama kundi
Pamoja na tofauti zote na rafu zote za Siasa hakuwa na muda kuhujumu uchumi au biashara ya Mtu japo alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo
alijua Michezo ya Siasa itaishia kwny Siasa sio kutafutana kwenye Bank Accounts na Assets za mtu
Sasa kama ni hivyo mbona walikuja kuhitilafiana kiasi kile, mbaya, kwa nini yule hakuonyesha shukurani aliye kutangulia kwa vile alipita kwa nasibu kiasi hiko.Rejea hotuba za Magufuli
nakukumbusha tu
alisema hadharani hakuwa na Mpango wa kuchukua fomu ila alienda Ikulu kumshtaki Saada Mkuya kwa kutompa pesa za kulipa wakandarasi 900 billion , Jk akamuuliza Wewe huchukui fomu ?akamuuliza ninatosha ? akamjibu Wewe kachukue kutosha au kutotosha tutajua Sisi
Hapo maana yake Rais alikuwa na Plan Kadhaa kutokana na yatakayojiri
waki react hivi itakuwa hivi na jinsi walivyo react wakaamua kadri walivyoamua na iliyobaki ni historia
Sina uhakika ila ninaamini
Jakaya, Mkapa, Mangula na Kinana walikaa kama kamati kuamua nani awe nani na pale Dodoma walienda kutekeleza tu maamuzi maana hata Mgombea mwenza Samia anatuambia Kamati kuu walikuwa wanakula biscuit wakati vingunge wanakamilisha taratibu kupitia chumba maalum
Kuweka rekodi sawa hata Mama Samia akipofuatwa na Kikwete kuwa awe mgombea mwenza wa Raisi Magufuli alikataa hakuwa na mpango Kabisa Hadi alilia kukataaRejea hotuba za Magufuli
nakukumbusha tu
alisema hadharani hakuwa na Mpango wa kuchukua fomu ila alienda Ikulu kumshtaki Saada Mkuya kwa kutompa pesa za kulipa wakandarasi 900 billion , Jk akamuuliza Wewe huchukui fomu ?akamuuliza ninatosha ? akamjibu Wewe kachukue kutosha au kutotosha tutajua Sisi
Hapo maana yake Rais alikuwa na Plan Kadhaa kutokana na yatakayojiri
waki react hivi itakuwa hivi na jinsi walivyo react wakaamua kadri walivyoamua na iliyobaki ni historia
Sina uhakika ila ninaamini
Jakaya, Mkapa, Mangula na Kinana walikaa kama kamati kuamua nani awe nani na pale Dodoma walienda kutekeleza tu maamuzi maana hata Mgombea mwenza Samia anatuambia Kamati kuu walikuwa wanakula biscuit wakati vingunge wanakamilisha taratibu kupitia chumba maalum
Ilikuwaje kwenye uongozi wake akakumbwa na kashfa za ufisadi mkubwa?Ni kweli alimshughulikia Kighoma Malima barabara
Ufisadi fisadi wa kwanza mkubwa alikuwa waziri alikuwa Kighoma Malima mtu wa swala Tano ila fisadi hatari na sigda yake usoni na swala Tano akiwa waziri wa Fedha mikashfa kibao ya kifisadi
Raisi Mwinyi akaona atafute mtu serious kweli akampa Kikwete uwaziri wa fedha na akamtoa Kighoma Malima na akampa Kikwete , Kikwete alimshughulikia barabara bila kujali ni mtu wa Pwani mwenzie au Muislamu mwenzie account zake nje alikoficha pesa Kighoma Malima alisafiri hija kumbe anaenda kutaka kukimbia nchi akatoe pesa kule kaweka nje akaenda hija na nyumba ndogo bi mdogo kisha akaenda huko ulaya atoe pesa wale maisha ulaya huko akakuta Kikwete waziri wa fedha kazipiga pin Akaunti Zote hakuna pesa ya kutoa
Akapata presha akafa wakarudisha kuzika Tanzania Kwa hasira familia yake waliogoma hawakutaka Serikali ihusike Hadi Mwanawe mkuu wa mkoa Sasa hivi alitorokea upinzani
Kikwete ndio alikuwa waziri wa kwanza Enzi hizo kupambana na fisadi mkubwa Malima aliyekuwa waziri wa fedha Kabla yake
Kwa Hilo apewe hongera na maua yake
Ok tuchukulie uko sahihi Kwa Nini Kighoma Malima akiwa waziri wa fedha alifungua Akaunti zake Uingereza na kuficha pesa kule Kwa Nini hakuweka Benki za ndani ambazo tunazo kibaoSiyo JK alihusika hapo. Ni UK na kuna sababu za ugomvi kati ya UK na Kighoma.
Umemwaga nondo ile balaaaaaa..Tumeshazika sasa tunajibu hoja kwa hoja
Walioshadadia Kashfa ya Monduli
1) Freeman Mbowe
2) Godbless Lema
3) Chrstopher Ole sendeka
4) Anne Kilango Malecela
wote hawa wanatokea unapotokea Wewe mbaguzi
au wakati wa Kashfa ya Richmond mlikuwa bado wadogo
Waliotupiwa zigo la Monduli walifanyie kazi walikuwa Home boy ambao leo ndio hao hao wanalalamikia wakwere walivyokuwa akili nusu Mlingoti
hao hao ndio walikuwa wanamtukana Mkwere kuwalinda wana mtandao!
Mwanasiasa Mahiri na madhubuti lazima uwe mtulivu, akili nyingi sana na mvumilivu na sifa zote hizo Adui yenu mkuu anazo
Sifa kubwa sana ambayo Mkwere na Mzee wa Monduli pamoja na kutofautiana walikuwa nayo ni kutopenda kulalamika lalamika
ukim snitch anaku snitch na wakikutana kila mmoja anajibu am fine
Walimzunguka Bosi kwny Richmond nae akawapelekea moto kwa kutumia hiyo hiyo Richmond
walipotolewa nje ya Game wakaunda magenge mengi sana ya hujuma hadi migomo mikubwa mikubwa akapiga kimya akawasubiri 2015 akala kichwa
Wakahamia upande wa pili wamuoneshe show kwa kuwa wana watu na pesa nae akawaonesha ana akili na dola wakamalizana kibingwa
na wote hawakuwahi kulalamika hadharan
Kitu cha kujivunia Jk alisikiliza kilio cha Wengi cha kulipasua Kundi lake la Wanamtandao
2017 alimtumia Mzee wa Kundi Samwel Sitta kumpumzisha Ngoyai na 2010 akatumia nguvu na ushawishi wa Ngoyai kupitia NEC kuweka vipengele cha Jinsia kumpumzisha Uspika Mzee Sitta
2011 akamtumia aliekuwa Mwanamtandao wa Mzee Sumaye Ndugu Nape akampa Ukatibu wa Itikadi akaanza ku deal na mapacha watatu na Tajiri wa Igunga akavua jezi
na 2015 akakamilisha madaraka yake kwa kuhakikisha Wanamtandao hawapo tena kama kundi
Pamoja na tofauti zote na rafu zote za Siasa hakuwa na muda kuhujumu uchumi au biashara ya Mtu japo alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo
alijua Michezo ya Siasa itaishia kwny Siasa sio kutafutana kwenye Bank Accounts na Assets za mtu
Huyo UK ndiyo nani kwanza? Wengine bado hatujakomaa kwenye siasa.Ok tuchukulie uko sahihi Kwa Nini Kighoma Malima akiwa waziri wa fedha alifungua Akaunti zake Uingereza na kuficha pesa kule Kwa Nini hakuweka Benki za ndani ambazo tunazo kibao