Haya wapenzi wa man utd ni muda wa kudhihilisha kuwa siku ile barc.aliwaotea tu.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,317
13,285
Hatimaye kocha wa manchester united,amefanikisha ule mpango wake wa kupata mechi ya kirafiki na barcelona itakayopigwa tarehe 30,mwezi huu.ili adhihilishe kuwa siku ile aliotewa tu!yasije yakawa zaidi ya yale.
 
<br />
<br />
kuna vitoto vipya pale barca vipo moto balaa sasa yasije yakaongezeka na sir ferg degedege likampata upya
 
Back
Top Bottom