Bosi Michembe
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 271
- 87
Kama haikuingii akili sawa amini usiamini huo ndio mfano wa Mapepo aliowaumba Mungu hatuwezi kuwaona lakini wao wanatuona ukiamini au usiamini nakuacha kama ulivyo mkuu kazi kwako... Bosi Michembe
Kama hatuwezi kuwaona tumejuaje kuwa wako hivyo kama ilivyo kwenye huo mchoro?? TUMEBUNI KWA HISIA AU??