Haya wale wasiomjuwa jini (pepo) ndio huyo picha yake anatisha usiangalie please

Status
Not open for further replies.
Hizo kwato za huyo Jinn, mbona zinafanana na kale 'ka-mnyama'? Kichwa cha popobawa mbona zinafanana na kale 'ka-mnyama'? Kuna uhusiano gani mkuu?
Majini Kwato zao huwa zinafanana Wanao uwezo wa kujigeuza Binadamu au wanyama haswa Nyoka mkubwa Chatu,Paka Mweusi Nge mkubwa na Mbwa Mweusi, kwahiyo hakuna kitu cha kushangaa mkuu. Iselamagazi
 
Last edited by a moderator:
Mku Kwa waisla neno Majini ,Malaika,Mashetani ni kitu cha kawaida hawa ni viumbe wa Mwenyeezi Mungu. Kwani katika kitabu cha waislam Quran kinafundisha kuwa Binadamu ni kiumbe wa mwisho kuumbwa duniani Sijuwi

nyinyi Wenzetu huko makanisani hamuwaulizi Ma Padri na Maaskofu au Wachungaji maswali ya dini? kila siku Maaskofu na hao wachungaji wanafundisha Bwana YESU Mwana Mungu mungu mwenyewe hakuna mafundisho makubwa kanisani ila ni

hayo basi hiyo dini yenu ya kikristo hakuna maswali wala majibu ? ndio maana Wakristo wengi ukitaja neno majini wanaogpa na wengi wao watupu hawajuwi kutkana huko kanisani hakuna maswali wala majibu poleni sana ndugu zangu Wakristo. mimi sio mtabiri mimi ni mzizimkavu hauchimbwi Dawa.

MziziMkavu, ni kweli kabisa wakristu tunafundishwa ubaya wa shetani bila kujua shetani gani anafanya nini. Mafundisho ya dini yenye kutoa nafasi ya kuuliza wachungaji na mapadri hayafanyiki wakati wa Ibada kama misa. Ila kuna namna ambazo mtu ukitaka kujifunza waweza jifunza.
Kwangu mimi binafsi, sioni tija ya kujua shetani gani anafanya nini maana mwisho wa siku shetani ni shetani tu. Hakuna lolote zuri ambalo shetani kama alivyo atanipa mimi wala binadamu yoyote. Na wote wanaowafuata mashetani, wapo kwenye mitihani mikubwa. Why should I be among them?
 
Kuna Binadamu kamuona Mungu? Mbona tunamini kuwa kuna Mungu? kuna kiumbe yoyote aliyemuona Mungu? Kuna mtu aliyewaona Malaika ? mbona tunaamini Viumbe malaika wapo?

Kwa hiyo kwavile hujawahi ona kitu unaweza kubumi sio?? Kwa hiyo na mimi naweza kupiga kijimchoro changu na kusema nilichochora ni mungu??? Kingine sio kila mtu anaamini mungu mkubwa.. Na kama hakuna mtu aliyewahi kuona malaika au mungu inabidi ujiulize mara kumi kumi aiseee..
 
hata hatishi
Mie nikajua nikifungua tu hii post nitachanganyikiwa kumbe ....
Muone hivyo hivyo akikujia usiku nyumbani kwako basi utaweza kufa hapo hapo kama siku zako zimefika Mungu akulinde na huyo Jini... FirstLady1 huyo kazi yake kula watoto wachanga matumboni mwa mama wenye uja uzito, huyo kazi yake kuharibu wanaume nguvu za kiume,huyo kazi yake kumtia mtu mwendawazimu,huyo kazi yake kumfanya mwanamke awe anatoka siku zake za hedhi mfululizo, huyo jini ana mambo mengi tu lakini akifanya hivyo anakuwa ni pepo Mchafu.Na Asipofanya hayo anakuwa ni pepo mzuri.
 
Kwa imani ya Dini yangu ya Kiislam nina ushahidi kamili je wewe una Dini gani? .. Kiranga

Imani haihitaji ushahidi, ukishaongelea una ushahidi unaotokana na imani unajionyesha jinsi gani unavyochanganya madawa.

Maana hata mie naweza kukuambia kwamba nina imani kuna kabila la Watanzania wenye macho matatu wanaishi juu ya mlima Kilimanjaro, ushahidi wangu ni imani yangu. Kwa msingi huu wewe na mimi hatutakuwa na tofauti.

Vyenye ushahidi haviitwi imani, imani haina ushahidi.

Kwa nini unafikiri ni lazzima kila mtu awe na dini?
 
Kwa hiyo kwavile hujawahi ona kitu unaweza kubumi sio?? Kwa hiyo na mimi naweza kupiga kijimchoro changu na kusema nilichochora ni mungu??? Kingine sio kila mtu anaamini mungu mkubwa.. Na kama hakuna mtu aliyewahi kuona malaika au mungu inabidi ujiulize mara kumi kumi aiseee..
Wewe huamini vitu visivyoonekana? Kwa Mfano Upepo unaweza kuona? mbona unamini kama upepo upo? kuna viumbe mungu ameviweka humu humu duniani tunaishi navyo hatuviwezi kuviona lakini hivyo viumbe vinatuona wewe kwani huna Dini?Mkristo au ni muislam? unaamini kuwa iko siku utakufa? Je Umesha wahi kuona kifo kwa macho yako?kama una amini iko siku utakufa basi amini kuna Mwenyeezi Mungu ,Majini na malaika na amini ipo siku ya mwisho siku ya hukumu amini kuna moto wajahanamu na kuna pepo acha usingizi wako huo.
 
Muone hivyo hivyo akikujia usiku nyumbani kwako basi utaweza kufa hapo hapo kama siku zako zimefika Mungu akulinde na huyo Jini... FirstLady1 huyo kazi yake kula watoto wachanga matumboni mwa mama wenye uja uzito, huyo kazi yake kuharibu wanaume nguvu za kiume,huyo kazi yake kumtia mtu mwendawazimu,huyo kazi yake kumfanya mwanamke awe anatoka siku zake za hedhi mfululizo, huyo jini ana mambo mengi tu lakini akifanya hivyo anakuwa ni pepo Mchafu.Na Asipofanya hayo anakuwa ni pepo mzuri.
MziziMkavu hata hawezi kunisogelea nina upako:coffee:
 
Last edited by a moderator:
wazee3.jpg
HATA CCM KUNA MAJINI. MziziMkavu asante kwa kuleta hili somo.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom