Haya tena mapenzi hayooooooo

Hayo saafi kabisa maana sisi wanaume tunatakiwa kutoa msaada panapo bidi kwani hata wao wanawake ni watu huchoka
Akichoka kubeba mtoto ni sawa kabisa ilimradi ni mke wange na mtoto ni mwanangu!!!!!!!!!
 
MziziMkavu,. Ni jambo bora kumbeba mtoto hata kama wewe ni mwanamme. INapendeza kumsaidia mama watoto wako, kwa kuwa wao pia huchoka maana watoto wengine wazito kama nini sijui. Sometimes kama mama amejifungua kwa shida ndo anahitaji msaada zaidi kuliko wakati mwingine. LAKINI!!!!! Nijuavyo mimi, wanaume wengi huwa hawapendi kuwafunga watoto mgongoni kwa mbereko kama alivyofanya huyo pichani. Au watawaweka watoto begani (kulingana na umri) au watawashika mikononi (kufuatana na umbali wa kutembea) ama kwa wale wenye nazo watanunua mifuko/mibebeo ya kizungu (-sijui neno lake sahihi :disapointed:). Mambo haya naona siku hizi wababa wengi wameamka wanawasaidia wapenzi wao kutunza/kulea/kuangalia mtoto. Kwa bahati mbaya sisi hatujafikia kiwango cha kufanya uchambuzi kwa mfano, kama mama anakipato kikubwa, baba unalazimika kukaa nyumbani na kutunza familia...baada ya negoatiation. We would rather be on the street doing nothing (tunazunguka tu) kuliko kujulikana kuwa unaangalia watoto....maana hilo nalo ni jukumu la muhimu sana kwa familia na taifa kwa ujumla!



















Mkuu Boflo na Mke wake Boflo...................
 
ohhhhhhhhh raha mwanamme akimsaidia mkewe.inshallah mungu awalainishe nyoyo zao wale wasosaidia wake zao.
 
Back
Top Bottom