Haya sasa kwa wale wapenzi wa nyota (horoscopes)

Kujua nyota yako (HOROSCOPES) ya kila siku tembelea BONGOWAP.HEXAT.COM
<br />
<br />
Duuuh! Ndo nchi haendelei kwa mambo ya kishirikina, kama vp nenda kwa yule jamaa anaelindwa na ulinzi usioonekana pale waiti hausi maana fundi wake aliekuwa anampatia ulinzi huo katangulia mbele za haki.
 
jamani msiwe wanafiki wa kujifanya kushangaa hata jesus uwepo wake duniani ulitambuliwa na horoscopes! wenzetu siku hizi wanatumia horoscope kujua majanga ya asili yaani [ natural calamities] sasa kama unajua kuwa ni ushetani basi tujuze wenzako maana dunia hii kuna mambo memgi yanazingua hasa haya ya nguvu za giza kama kuna mjuzi atupe precaution
 
waambie kwamba elimu ya nyota ipo na hata mtu akifundishwa ataelewa na sio kubwabwaja tu kuwa hamna hicho kitu wakati mifano ipo mingi sana juu ya elimu ya nyota, mfano mmoja wapo ni kuzaliwa kwa yesu.
ukibisha kitu uwe na evidence na sio kulipuka kwa jazba tu kwa sababu ya imani yako.
hapa tupo kujifunza zaidi na sio kuonyesha umwamba wako kwa kupinga vitu bila ushahidi huku ukitumia jazba na kejeli!!

"THOSE WHO THINK THEY KNOWS MUCH LET CONSIDER
THEMSELF KNOWING NOTHING"
 
Back
Top Bottom