sinforosa
Member
- Jul 28, 2011
- 32
- 19
- Thread starter
- #21
hata kama unampenda SANAAAAAAAAA .... tafakari TABIA zake .............je
1. anastahili kuwa MUME wako ...............ufunge nae pingu za maisha????
2. anastahili kuwa BABA WATOTO wako??? awe kiongozi wa familia yako?
3. Ana hadhi ya wewe kumjulisha kwa marafiki/ndugu/jamaa -(kwa tabia yake) bila wewe kuona aibu??
kama majibu ni SIVYO.............basi TABIA ikufanye UFUTE HISIA ZA UPENDO KWAKE .... MUNGU ATAKUPA ANAYEKUFAA.... HE IS SOMEWHERE....
give it time ......mtukutana tu siku moja
sifa zote tatu hana, ingawa sifikirii kuolewa zaidi ya kutafuta mtoto na baba ambaye ni responsible... Na ndomaana na sisitiza nitakuwa nimelogwa kwa nini kwako yeye mivumilie yote hayo? Ingawa nakiri panapo majambozi yuko vzr.