haya ni kweli mbele ya rais

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
katika hali isiyo ya kawaida mh mkubwa kutembelea marekani na katika pita pita akaona ghorofa moja halina umeme mala akasema na huku kwenu kuna mgao akajibiwa kua ni ofisi za ubalozi wa tanzania ndo hakuna umeme
 
kalale tu ndugu yangu.

maana sasa unaanza kuweka thread mahala si pake,
 
katika hali isiyo ya kawaida mh mkubwa kutembelea marekani na katika pita pita akaona ghorofa moja halina umeme mala akasema na huku kwenu kuna mgao akajibiwa kua ni ofisi za ubalozi wa tanzania ndo hakuna umeme

Si mahali pake hapa, peleka forum ya jokes.
 
Back
Top Bottom