Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Nimekutana na picha moja mahali, sikuweza kupata jibu la haraka kwamba kulikuwa kuna nini hadi hiki kitu kikatokea. Vijana wengi nchini USA especially wale wanaopenda miondiko ya RAP wanapenda kufanya hicho kitendo hata kama hawahitaji kujikuna.
Kitendo chenyewe ni hicho hapo katika picha inayomwonyesha kijana wetu aliyeko nchini sasa lakini mwenye makazi yake nchini USA. Angalia na toa maoni.
Sina hakika hapa alikuwa akighani muziki au la maana nimeona hata waimbaji wa Bongo Fleva nao wanaiga mambo kama haya ya kukamata kwenye nanihii bila hata kuhitaji kujikuna. Mmmh haya makubwa....