Haya Ndiyo Makazi Ya 60% Ya Walipa Miamala Ya Simu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
Haya ndiyo makazi ya 60% ya walipa miamala ya simu.png
 
Hakika hujatembea, makete,Ludewa tandahimba. Newala, nkasi umefika huko ukaona hali ilivo?
Ludewa hakuna nyumba kama hizo miaka hii. Ludewa tuna chakula cha uhakika kuliko wakazi 20% wa kwa Myamani, tuna huduma za afya za kuaminika kuliko Kinguge Mbagala huko, tunakunywa maji safi kuliko wakazi wa kwa Tumbo, hela anayotoa mkazi wa kwa Lulenge ili kupata ndoo tano za maji sisi tunachota maji safi ya bariiidi ya kutokea msituni kwa mwezi mzima.
 
Hakika hujatembea, makete,Ludewa tandahimba. Newala, nkasi umefika huko ukaona hali ilivo?
Makete hatuna nyumba za aina hiyo. Kule kumeendelea sana, nyumba zote ni za mabati na vigae, maji safi na salama ya kunywa na umeme pia. Labda Makete ya before 1990.
 
Makete hatuna nyumba za aina hiyo. Kule kumeendelea sana, nyumba zote ni za mabati na vigae, maji safi na salama ya kunywa na umeme pia. Labda Makete ya before 1990.
Staki kushindana maana nilotoka huko sio miaka mingapi mingi, nilipita kijiji kwa kijiji kitongoji kwa kitongoji
 
Utakuwa huijui Tanzania wewe, nchi hii sasa imebadilika sana hizo hazifiki 10% ya makazi
We endelea kulalia godoro alilokupa shemeji yako,baada ya dada yako kulalamika akilazwa chali chaga anasikilizia mgongoni
 
We endelea kukalia godoro alilokupa shemeji yako,baada ya dada yako kulalamika akilazwa chali chaga anasikilizia mgongoni
Tuliza Kasesela wewe, unadhani watu wote wanakaa Kinondoni kama wewe wasubiri kuhongwa.. Tunaijua nchi yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom