Haya ndiyo majibu ya viongozi wetu!

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba
2. Graduates msio na kazi ... kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
4. Acheni wivu wa kike – Msekwa
5. Asieweza lipa nauli apige mbizi – Magufuli
6. Baada ya kutumia helcopter ya jeshi kwenda nayo kwao urambo "mlitaka nipande punda" – Kapuya
7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio - Masaburi
9. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua - Wassira
10. Kura laki tatu za wafanyakazi - JK
11. Hata kama ni ugonjwa mdogo (Sinusitis), kwenda kutibiwa India ni haki yangu kikatiba kama mh. mbunge!
- Z. Kabwe
12. ‎"Wanaopata mimba mashuleni ni kwa sababu ya kiherehere chao" na "......Ukimwi ni ugonjwa wa kujitakia..." - JK
13. Kama unataka kula kubali kuliwa - JK
14. Uchumi mnao lakini mnaukalia - Karume
15. Ukimwi umekaa mahali pabaya .......... - Mwinyi
16. Sijui kwanini Tanzania ni maskini!! - JK
17. Intern si interest ya kitaifa - Mtasiwa (Mganga mkuu wa serikali akizungumzia sakata la Intern Muhimbili
kugoma kutokana na kutolipwa pesa zao za posho kwa miezi kadhaa)
18. Hapa Tanzania daktari anasoma miaka minne na wa tano ndo intern (yaani mafunzo kwa vitendo)
- Mponda (Waziri wa afya na ustawi wa jamii ambaye si daktari wa binadamu (MD)
19. Hizi bilioni ... ni vijisenti tu - Chenge
20. "Msiogope madini ya Uranium kuchimbwa hapa kwenu wilayani Bahi (Dodoma). Madini
yapo mita 3 tu usawa wa bahari, miaka yote hii mbona hamjadhurika?" - Adam Malima (Naibu Waziri wa
Madini na Nishati, akiwatambulisha 'Wawekezaji' kwa wanakijiji)

21. Asiyefanya kazi - afe! - Magufuli


 
kwa nini watu wa mabwepande wanalia? kikwete.
fungeni milango tupigane.lusinde
ningekuwa na mamlaka kwa jinsi wabunge mlivyochachamaa jairo ningemtimua kazi.pinda.
nisingeenda nje kuomba msaada mngekufa njaa.kikwete.
msikubali wapinzani wanataka tuweke ndoa za jinsia moja kwenye katiba mpya ccm tunakataa. lucy nkya.
wewe nape nani kakuambia uje igunga?unataka kutuharibia uchaguzi?................
 
Back
Top Bottom