Kifo cha Membe, ujinga wetu Watanzania na faida ya adui wetu

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,381
Siku zote umoja na mshikamo ndio nguzo ya Taifa lolote, Taifa lolote likikosa huo umoja linakuwa hatarini na kuwapa maadui wa Taifa hilo nafasi ya kulishinda.

Ndio maana baada ya Maandamano ya wiki kadhaa nyuma huko Israel, Waziro wa Ulinzi wa Israel alimueleza wazo Waziri Mkuu kuwa, kuendelea kwa maandamano hayo( tena ya amani kabis) kulikuwa kunahatarisha usalama wa Taifa la Israel. Japo alifukuzwa lakini Waziri Mkuu alisitisha muswaa uliokuwa umepelekwa bungeni ambao waandamanaji waliona ni ukandamizaji kwa haki na uhuru, maandamano yakasimama. Israel wamezungukwa na washindano na maadui zake ambayo wanashindania ua kugombamia Ardhi na ushawishiri katika Masharikia ya mbali, sio Palestina tu nchi zingine pia za Mashariki ya kati wao wanachukua taadhari na wanawaona ni maadui hata kama kwa nje wanaonekana kuwa mahusiano mazuri kabisa

Narudi hapa kwetu Tanzania, nchi hii imekuwa na ushawishi mkubwa kuanzia miaka ya 60 huko mpaka sasa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Ukanda wa nchi za Kusini, karibu hapa kidogo tulikuwa kama tumejiweka pembeni lakini tumerudi na ushawishi wetu uko pale pale. Kutoka na ushawishi huo, utajiri wa ardhi, siasa zetu na utulivu tuliokuwa nao wapo ambao ni kwa nje ni marafiki ila maadui zetu wakubwa. Wanatuhusudu kwa neema na nafasi hiyo na wanatamani kutuangusha na kulipoteza taifa hili. Wako waliofikia hatua hata ya kutishia hadharani n.k

Tunakubali kwa miaka ya karibu tumeingia kwenye siasa za makundi makubwa, yakichagizwa zaidi na Ukabila na ukanda. Kunaonekana kuwa na juhudi za kuuzika huu ugonjwa ambao haukuwahi kuwa ugonjwa wetu na kuonywa mara kadhaa na wasisi wetu kuwa ni hatari lakini huenda kuna juhudi ya maaduo zetu kubakikisha tunabaki na ugonjwa wetu kwa maslahi mapaja ya mataifa yao.

Sasa hivi ugonjwa ule umeanza kupanda na kuongoza japo ulianza kutulia kwa juhudi za 'watatibu' wetu wa kitaifa lakini kifo cha Nguli kimeamsha tena ugonjwa tukiwa na hisia kali. Tumeanza tena kunyooshea vidole sisi kwa sisi, tunatuhuamiana , kutiana hasira, kubezana, kuzozana n.k kwa nini? kwa sababu timing ya tukio, akiwa wapi anakaribia kufanya nini, ana kesi na nani, ambaye alionekana kuwa mtu wa karibu na kutumika na fulani.

Je, kuna anayewaza anaweka aduai yetu ametumia hii fursa kuendeleza na kuzidi kuchochea siasa za ukabila, kanda visasi n.k? Kama adui anayetufatilia kwa muda mrefu, mwenye mipango ya muda mrefu, anayefaidika na kuparaganyika na taifa letu kwa maslahi mapana ya kwake hatuoni hiyo ndio perfect timing? Kasubiri kesi imetajwa, kasubiri mahakama imetoa hukumu, kasubiri maombi ya maaskofu kuingilia kati na kabla ya siku 14 akaona ni fursa. Kwa sababu lazima kwa mtiririko wa matukio hayo ilete walakini?

Siku ya kwanza Mara waandishi jambo la kwanza anatafutwa Daktari wa familia, Mara tayari kashahijiwa Daktari wa hospitali.

Hii ni INFORMATION WARFARE, huu ni UJASUSI ili kuthibiti na kutaka jamii iende kufikiri au kuona jambo fulani. Upande mmoja tafurahi utasema kumbe bado tupo, mwingine utasema upande ule umefanya, tunacheza ngoma ya adui. Majausi maaduai wenye vyombo vyetu vya Habari , wenye mitandao ya kijamii wananzisha na kuikuza mijadala ya utata kwenye vyombo vyetu na mitandao ya kijamii

UJASUSI sasa hivi umeshika kasi sana kwenye POLITICAL INTERFENCE na INTERFENCE kwenye democratic na political institutions. Nchi maadui zimeweka sana kuingia siasa na mifumo ya kisiasa. Hiki nchi wanacholalamikiwa URUSI na MAREKANI, Mataifa ya Ulaya.

SIkujua kuwa Marehemu aliteuliwa kuwa mshauri wa Masuala ya uhusiano wa kimataifa na usalama.

Je, katika mahusiano yetu ya kimataifa, nchi jirani ni nani ambaye uteuzi wake kuwa mshauri ulikuwa unamletea walakini na kutishia maslahi yake binafsi ya Taifa lake?

Tunanyooshea vidole na hasira nyingi dhidi yetu unaweza kukuta jirani aliyetutembelea juzi juzi ndio kacheza mchezo sisi tuliharibu taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania
 
Zam zam ndio mbiu ya mnyonge
Umesoma vizuri? Kwanini isiwe mchezo wa adui yetu anayetamani tuendeleze siasa hizi kwa faida yake? ujio wa ziara ya jirani yetu juzi juzi hapa sio wa kuaminika.

Au na wewe uko kazini
 
Tatizo hapo limeanzia pale the late ex-FM alipowakatalia wale viongozi wa dini. Mengine yote ni porojo tu.
 
Umesoma vizuri? Kwanini isiwe mchezo wa adui yetu anayetamani tuendeleze siasa hizi kwa faida yake? ujio wa ziara ya jirani yetu juzi juzi hapa sio wa kuaminika.

Au na wewe uko kazini
Kwa nini asife yeye huyo jirani acheni uoga, akifa ngedere kafa tu vinginevyo fuatilieni nyendo zake kwenye mashamba ya watu.
Imeisha Mungu atupe nguvu ya kusonga mbele kishujaa
 
Umesoma vizuri ndugu?
Umeandika porojo tu, mkuu. Okoa muda. The late ex-FM, uwezekano mkubwa ni kwamba wala-nchi wamefanya yao ili kuituliza ^bahari^ iliyokuwa imeanza kufukutwa na incidents za Mr Funeral.
 
Siku zote umoja na mshikamo ndio nguzo ya Taifa lolote, Taifa lolote likikosa huo umoja linakuwa hatarini na kuwapa maadui wa Taifa hilo nafasi ya kulishinda.

Ndio maana baada ya Maandamano ya wiki kadhaa nyuma huko Israel, Waziro wa Ulinzi wa Israel alimueleza wazo Waziri Mkuu kuwa, kuendelea kwa maandamano hayo( tena ya amani kabis) kulikuwa kunahatarisha usalama wa Taifa la Israel. Japo alifukuzwa lakini Waziri Mkuu alisitisha muswaa uliokuwa umepelekwa bungeni ambao waandamanaji waliona ni ukandamizaji kwa haki na uhuru, maandamano yakasimama. Israel wamezungukwa na washindano na maadui zake ambayo wanashindania ua kugombamia Ardhi na ushawishiri katika Masharikia ya mbali, sio Palestina tu nchi zingine pia za Mashariki ya kati wao wanachukua taadhari na wanawaona ni maadui hata kama kwa nje wanaonekana kuwa mahusiano mazuri kabisa

Narudi hapa kwetu Tanzania, nchi hii imekuwa na ushawishi mkubwa kuanzia miaka ya 60 huko mpaka sasa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Ukanda wa nchi za Kusini, karibu hapa kidogo tulikuwa kama tumejiweka pembeni lakini tumerudi na ushawishi wetu uko pale pale. Kutoka na ushawishi huo, utajiri wa ardhi, siasa zetu na utulivu tuliokuwa nao wapo ambao ni kwa nje ni marafiki ila maadui zetu wakubwa. Wanatuhusudu kwa neema na nafasi hiyo na wanatamani kutuangusha na kulipoteza taifa hili. Wako waliofikia hatua hata ya kutishia hadharani n.k

Tunakubali kwa miaka ya karibu tumeingia kwenye siasa za makundi makubwa, yakichagizwa zaidi na Ukabila na ukanda. Kunaonekana kuwa na juhudi za kuuzika huu ugonjwa ambao haukuwahi kuwa ugonjwa wetu na kuonywa mara kadhaa na wasisi wetu kuwa ni hatari lakini huenda kuna juhudi ya maaduo zetu kubakikisha tunabaki na ugonjwa wetu kwa maslahi mapaja ya mataifa yao.

Sasa hivi ugonjwa ule umeanza kupanda na kuongoza japo ulianza kutulia kwa juhudi za 'watatibu' wetu wa kitaifa lakini kifo cha Nguli kimeamsha tena ugonjwa tukiwa na hisia kali. Tumeanza tena kunyooshea vidole sisi kwa sisi, tunatuhuamiana , kutiana hasira, kubezana, kuzozana n.k kwa nini? kwa sababu timing ya tukio, akiwa wapi anakaribia kufanya nini, ana kesi na nani, ambaye alionekana kuwa mtu wa karibu na kutumika na fulani.

Je, kuna anayewaza anaweka aduai yetu ametumia hii fursa kuendeleza na kuzidi kuchochea siasa za ukabila, kanda visasi n.k? Kama adui anayetufatilia kwa muda mrefu, mwenye mipango ya muda mrefu, anayefaidika na kuparaganyika na taifa letu kwa maslahi mapana ya kwake hatuoni hiyo ndio perfect timing? Kasubiri kesi imetajwa, kasubiri mahakama imetoa hukumu, kasubiri maombi ya maaskofu kuingilia kati na kabla ya siku 14 akaona ni fursa. Kwa sababu lazima kwa mtiririko wa matukio hayo ilete walakini?

Siku ya kwanza Mara waandishi jambo la kwanza anatafutwa Daktari wa familia, Mara tayari kashahijiwa Daktari wa hospitali.

Hii ni INFORMATION WARFARE, huu ni UJASUSI ili kuthibiti na kutaka jamii iende kufikiri au kuona jambo fulani. Upande mmoja tafurahi utasema kumbe bado tupo, mwingine utasema upande ule umefanya, tunacheza ngoma ya adui. Majausi maaduai wenye vyombo vyetu vya Habari , wenye mitandao ya kijamii wananzisha na kuikuza mijadala ya utata kwenye vyombo vyetu na mitandao ya kijamii

UJASUSI sasa hivi umeshika kasi sana kwenye POLITICAL INTERFENCE na INTERFENCE kwenye democratic na political institutions. Nchi maadui zimeweka sana kuingia siasa na mifumo ya kisiasa. Hiki nchi wanacholalamikiwa URUSI na MAREKANI, Mataifa ya Ulaya.

SIkujua kuwa Marehemu aliteuliwa kuwa mshauri wa Masuala ya uhusiano wa kimataifa na usalama.

Je, katika mahusiano yetu ya kimataifa, nchi jirani ni nani ambaye uteuzi wake kuwa mshauri ulikuwa unamletea walakini na kutishia maslahi yake binafsi ya Taifa lake?

Tunanyooshea vidole na hasira nyingi dhidi yetu unaweza kukuta jirani aliyetutembelea juzi juzi ndio kacheza mchezo sisi tuliharibu taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania
Msoga mlishangilia sana kifo cha Magufuli,bila kukemewa na kudai wazuri hawafi,hilo ni kosa ambalo mpaka sasa halijapata dawa,acha iwe hivyo ili tuone faida na hasara ya huu upuuzi
 
Umesoma vizuri
 
Umeandika porojo tu, mkuu. Okoa muda. The late ex-FM, uwezekano mkubwa ni kwamba wala-nchi wamefanya yao ili kuituliza ^bahari^ iliyokuwa imeanza kufukutwa na incidents za Mr Funeral.
Sawa Mkubwa
 
Kwa nini asife yeye huyo jirani acheni uoga, akifa ngedere kafa tu vinginevyo fuatilieni nyendo zake kwenye mashamba ya watu.
Imeisha Mungu atupe nguvu ya kusonga mbele kishujaa
Sawa sawa
 
Siku zote umoja na mshikamo ndio nguzo ya Taifa lolote, Taifa lolote likikosa huo umoja linakuwa hatarini na kuwapa maadui wa Taifa hilo nafasi ya kulishinda.

Ndio maana baada ya Maandamano ya wiki kadhaa nyuma huko Israel, Waziro wa Ulinzi wa Israel alimueleza wazo Waziri Mkuu kuwa, kuendelea kwa maandamano hayo( tena ya amani kabis) kulikuwa kunahatarisha usalama wa Taifa la Israel. Japo alifukuzwa lakini Waziri Mkuu alisitisha muswaa uliokuwa umepelekwa bungeni ambao waandamanaji waliona ni ukandamizaji kwa haki na uhuru, maandamano yakasimama. Israel wamezungukwa na washindano na maadui zake ambayo wanashindania ua kugombamia Ardhi na ushawishiri katika Masharikia ya mbali, sio Palestina tu nchi zingine pia za Mashariki ya kati wao wanachukua taadhari na wanawaona ni maadui hata kama kwa nje wanaonekana kuwa mahusiano mazuri kabisa

Narudi hapa kwetu Tanzania, nchi hii imekuwa na ushawishi mkubwa kuanzia miaka ya 60 huko mpaka sasa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Ukanda wa nchi za Kusini, karibu hapa kidogo tulikuwa kama tumejiweka pembeni lakini tumerudi na ushawishi wetu uko pale pale. Kutoka na ushawishi huo, utajiri wa ardhi, siasa zetu na utulivu tuliokuwa nao wapo ambao ni kwa nje ni marafiki ila maadui zetu wakubwa. Wanatuhusudu kwa neema na nafasi hiyo na wanatamani kutuangusha na kulipoteza taifa hili. Wako waliofikia hatua hata ya kutishia hadharani n.k

Tunakubali kwa miaka ya karibu tumeingia kwenye siasa za makundi makubwa, yakichagizwa zaidi na Ukabila na ukanda. Kunaonekana kuwa na juhudi za kuuzika huu ugonjwa ambao haukuwahi kuwa ugonjwa wetu na kuonywa mara kadhaa na wasisi wetu kuwa ni hatari lakini huenda kuna juhudi ya maaduo zetu kubakikisha tunabaki na ugonjwa wetu kwa maslahi mapaja ya mataifa yao.

Sasa hivi ugonjwa ule umeanza kupanda na kuongoza japo ulianza kutulia kwa juhudi za 'watatibu' wetu wa kitaifa lakini kifo cha Nguli kimeamsha tena ugonjwa tukiwa na hisia kali. Tumeanza tena kunyooshea vidole sisi kwa sisi, tunatuhuamiana , kutiana hasira, kubezana, kuzozana n.k kwa nini? kwa sababu timing ya tukio, akiwa wapi anakaribia kufanya nini, ana kesi na nani, ambaye alionekana kuwa mtu wa karibu na kutumika na fulani.

Je, kuna anayewaza anaweka aduai yetu ametumia hii fursa kuendeleza na kuzidi kuchochea siasa za ukabila, kanda visasi n.k? Kama adui anayetufatilia kwa muda mrefu, mwenye mipango ya muda mrefu, anayefaidika na kuparaganyika na taifa letu kwa maslahi mapana ya kwake hatuoni hiyo ndio perfect timing? Kasubiri kesi imetajwa, kasubiri mahakama imetoa hukumu, kasubiri maombi ya maaskofu kuingilia kati na kabla ya siku 14 akaona ni fursa. Kwa sababu lazima kwa mtiririko wa matukio hayo ilete walakini?

Siku ya kwanza Mara waandishi jambo la kwanza anatafutwa Daktari wa familia, Mara tayari kashahijiwa Daktari wa hospitali.

Hii ni INFORMATION WARFARE, huu ni UJASUSI ili kuthibiti na kutaka jamii iende kufikiri au kuona jambo fulani. Upande mmoja tafurahi utasema kumbe bado tupo, mwingine utasema upande ule umefanya, tunacheza ngoma ya adui. Majausi maaduai wenye vyombo vyetu vya Habari , wenye mitandao ya kijamii wananzisha na kuikuza mijadala ya utata kwenye vyombo vyetu na mitandao ya kijamii

UJASUSI sasa hivi umeshika kasi sana kwenye POLITICAL INTERFENCE na INTERFENCE kwenye democratic na political institutions. Nchi maadui zimeweka sana kuingia siasa na mifumo ya kisiasa. Hiki nchi wanacholalamikiwa URUSI na MAREKANI, Mataifa ya Ulaya.

SIkujua kuwa Marehemu aliteuliwa kuwa mshauri wa Masuala ya uhusiano wa kimataifa na usalama.

Je, katika mahusiano yetu ya kimataifa, nchi jirani ni nani ambaye uteuzi wake kuwa mshauri ulikuwa unamletea walakini na kutishia maslahi yake binafsi ya Taifa lake?

Tunanyooshea vidole na hasira nyingi dhidi yetu unaweza kukuta jirani aliyetutembelea juzi juzi ndio kacheza mchezo sisi tuliharibu taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania
Alivyokufa rais wetu Magufuli kuna baadhi ya makundi ya watu mlifurahi na viongozi wengine hamkuenda msibani kwa chuki zenu bado hamkuona haitoshi mkatoa kauli za hovyo hovyo kabisa juu ya marehemu kama nyie vifo haviwahusu na hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyekemea hii tabia
 
conspirancy bila sababu. Tubaki na hili la mafua, japo hapo kwenye kuteuliwa mshauri wa masuala ya usalama lazima liwe limemsumbua jirani. na suala la Tz na misimamo ya Congo na Great lakes. Kwenye political regime ya sasa tunakosa watu wenye link na historia za mapambano hayo.Japo mmmh sioni uhusiano
 
Back
Top Bottom