Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Heshima kwenu wana jamii!
Tarehe 15 nilihudhuria intervew pale duce katika post ya WILDLIFE OFFICER.
Nilishangaa sana kumuona dada mmoja ambaye nilimuacha chuo mwaka jana pale SUA.
Huyu dada amegraduate mwez uliopita,ila hizi nafasi za kazi zilitoka mwez wa 5 na 6.kiukweli nadhani mnajua vigezo vya kuomba kazi hasa serikalini kwamba ni lazma uwe na certificates na sio provision result or transcript.
I wonder huyu dada alipata wapi vyeti? Sababu kama alitumia transcript when she apply the post basi wakati wa intervew alitakiwa awe na FULL CERTIFICATE ili aweze kuingia kwenye intervew.
Wakati wa ukaguzi wa vyeti conditions zilikua uwe na cheti cha kuzaliwa,cha form four,cha form six na university certificate. Sasa huyu mwenzetu amepata wapi cheti cha chuo? Maana aliruhusiwa kufanya mtihan.
Ifahamike kwamba vyeti vya chuo vinachukua muda kutoka,mathalani sie tulimaliza chuo mwaka jana ila vyeti vimetoka mwaka huu mwezi wa 6.
Dada yetu atuambie imekuwaje??
Utumishi kweli mko serious katika hili?
Nimeenda mbali zaidi ku trace background ya huyu dada hajapita hata diploma labda ingetuaminisha kua alitumia vyeti vya diploma.
We have a long way to go...kazi kweli kweli