MR. DRY
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 637
- 122
Jamani tuwapende vipi?
Mwanaume umemaliza chuo na kupata kazi, mpenzi wako unamatarajio nae ndo kwanza anaanza chuo mwaka wa kwanza halafu anakuletea mambo ya ajabu aaagggrrrrrrrrr......
Hivi mnataka nisiwe naenda kazi nije nikuchunge mwenendo wako hapo chuo?
Au ndo mnatuita vibabu!!??
Ni bora kutafuta mpenzi aliyekuwa kitaa kuliko anaesoma chuoni, jamani inaboa aaaaaaaaahhhhhhh.......!!!! Nishaumizwa mimi acha tu.
Kama nimeandika vibaya sorry, nina hasira kweli!