Haya mapenzi yananishinda.....

Pole sana Mr. Dry! Nakushauri kaa chini na huyo binti ongea nae kuhusiana na urafiki wenu na una nia gani naye ya hapo baadaye. Nahisi huyo binti atakuwa bado mdogo na ana akili za kitoto. Ukiona bado anaendelea na hiyo tabia achana nae, utapata tu mwingine kwani "mke mwema hutoka kwa Mungu"!

Mchumba utampata maeneo ya kazi; tulia maintain friendship tu na huyo student if u were meant to be together u will be.
 
Pole sana Mr. Dry! Nakushauri kaa chini na huyo binti ongea nae kuhusiana na urafiki wenu na una nia gani naye ya hapo baadaye. Nahisi huyo binti atakuwa bado mdogo na ana akili za kitoto. Ukiona bado anaendelea na hiyo tabia achana nae, utapata tu mwingine kwani "mke mwema hutoka kwa Mungu"!

mkuu nilikaa nae muda kwa maongezi, akaniomba msamaha ila anachokifanya kwa sasa mimi nazidi kuchoka.nukta
 
mijinga kweli wewe. yaani umri wako wote kujui maisha ya first year female students huwa yakoje? na utakufa kwa kijiba cha roho. wenzio wanajimegea kwa kuandaa madesa tu, we unachunwa kifala, looooh!

ahsante mkuu. Ila wote tukiweka nia msichana akianza chuo anabadilika tutaoa kweli!?.nukta
 
Huwa kuna wakati najiuliza kama sisi wanadamu tupo kama vile tunavyojisema!!
 
maisha ya chuo si umeyapitia unayajua? ingawa hilo si sababu ya msingi, cha kujiuliza je tabia ya mwenza wako unaijua fika? alimchunguza vizuri? uwe na msichana wa chuo au ofisini kinachoweka uzito ni tabia mkuu. kama umepata msichana mgawaji imekula kwako.

kingine hebu chunguza si ajabu yeye penzi kwako limekwisha siku nyingi wewe ndo unajing'ang'aniza...

vilevile ndo matatizo ya kutembea na kindergarten(sorry thats how i call them), watoto wa siku hizi wanaanza mapenzi mapemaaaaaa.....

si ajabu that was just a puppy love for her, ila wewe ndo umezama, sasa anapokomaa anakutana na vionjo vipya shughuli ndipo inapoanzia.

pole sana kama, ila zungumza nae upate mwafaka.

Pole sana mkuu,kwa case ya first year chuo iko koplicated sana na usumbufu mwingi,
Kwanza ujue kule amekutana na marafiki wapya wenye style mbalimbali za maisha,
Kule amekutana na wanaume wengine wenye swaga mbalimbali za misha,
Km ana akili ya kitoto na ni mpenda makuu asiweza kutambua ni kampani gani inamfaa kwa mafanikio ya kielimu na si starehe,imekula kwako!
Km haikusumbui sn vumilia japo hakuna uhakika wa future,wakati wowote atakumwaga!
Nina uhakika km ameshaanza mapozi,tambua kwa sasa ww anakuona sio chaguo sahihi kwake na anataman lolte litokee apate uhuru!
Ila sikushauri umwache km still una mda wa kusubiri,subiri amalize chuo akirudi mtaani lzm atakupenda tena na ndio muendelee!
Km huna muda,tafuta mkubwa mwenzio anayejua maisha ni nn,utulize akili mfanye mambo mengine na si kukimbizana na mpnz ya kitoto.
 
Acha hasira chuoni hayo ni mambo ya kawaida. Naamini hata wewe huko uliko kuiba mara moja moja huwezi kuacha. Muache achakachue na wewe chakachua mwisho wa siku mnaoana
 
hizo changamoto ndio zinafaa kupima uhusiano wenu,sio unampenda mtu mpaka unajisahau wewe ni nani,ukiona kizunguzungu kingi unakosa amani anza,you are still young,pima mazuri yake against mabaya,kama mabaya yanazidi jishauri kusepa,mwisho wa siku changanya na zako
 
anataka kuishi kama yuko peponi! Nalog off
 
pole sana mkuu chuoni huwa kuna mambo sana, yahitaji uvumlivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom