Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

Mi nawakaribisha hapa V.C.T tucheki manyenyere! mana kny hiyo list ya walio n'tia nkojo diva na mashaka sana lol..............
 
Mkuu zumbemkuu toa maoni yako hapo au nyamaza. maana haya mambo ya binafsi watu hawahawa wanayatumia kuwachafua wenzao kumbe wenyewe mpaka Swiss pub wana yatenda tena bila kificho?


Sent from my iPad using JamiiForums

hahahahaha, dah, leo siku imeenda poa sana, imebidi kale ka'post nika'save for future reference,
Bro Zitto ndo alikua ana kaza hapo

Now amiri jeshi mkuu wa ECT ARMY ndo anaoa kabisa.

so ni shemeji bado.

AM EAST COAST ARMY'S DIE HARD FAN!
hii pia ionwe na Elli MANI Crashwise Mungi Afred Pigangoma
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi kalikuwa kanamtega John Mnyika kwa kumuhoji maswali ya ajabuajabu,ila Kamanda alikuwa anamkazia hataki maswali ya kipuuzi.Kalipoona hakana namna tena ya kumpata 'mgumu' Mnyika ndo kakaamua kuhamishia mashambulizi kwa Zitto,huko alhamdulilah akafanikiwa kupata anachotaka

Hapo ndio ujue kumbe jamaa ni mwepesi hivyo! Kugeuziwa jicho tuu aaaah kaingia king, jee akiona mkwanja? Si ndio atakuwa tayari hata kuwaua wenzie acha kuwasaliti tuu. Thread hii imenifundisha mengi.
cc; zumbemkuu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ni kama Cracked Windows, everything opened na bado anajiweka wazi ni kiasi gani alivyokosa Anti-Virus, mtu ana boyfriend afu bado anakiss lovely with other guy, WHAT A SHAME!!, by the way nadhan Locker yake ni simple sana kuicrack, a guy like me siwezi shindwa kulog in kwenye safe mode yake na kuextrack love yake, COOL DIVA, KEEP GIVING THEM, COZ THATS ALL U GOT!!! LOL
 
Nina hamu ya kufanyiwa interview kwny hala za Roho uenda nami nitauona mlango usiofungwa Mara kwa Mara nami nikapita hapo
 
Mkuu huwa sina kawaida ya kutembelea sana hili jukwaa ila kumbe lina mambo yamejificha huku! Acha tuu


Sent from my iPad using JamiiForums
hee, hahahaha, dah kumbe jukwaa la MMU???? hahaha, tangu nijiunge leo ndo naingia humu, du, hahahahaha
kumbe ndo maana kuna wadau siku hizi jukwaa la stress hawaonekani....
 
Kuna kipindi kalikuwa kanamtega John Mnyika kwa kumuhoji maswali ya ajabuajabu,ila Kamanda alikuwa anamkazia hataki maswali ya kipuuzi.Kalipoona hakana namna tena ya kumpata 'mgumu' Mnyika ndo kakaamua kuhamishia mashambulizi kwa Zitto,huko alhamdulilah akafanikiwa kupata anachotaka

hahahahahaha!...mnyika 'm solid' banah! Ni ngumu sana kushawishika. Dogo yupo safi sanaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom