Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

mashalaah kumbe nae yumo,ana shape kama kiroba,tumbo hapo hapo,kiuno hapohapo,makalio hapo hapo,nyuma hajulikani kama mke/mume ila mbele utmjua kwa nido zake kama ndala na uso wake kama Bundi mzee.
Go Diva Go

hahahaahaaa... holy mother of serio .....my ribs.
and that was four or five years ago. you should have seen her now..lol.
 
Last edited by a moderator:
Mhe. Naomi Kaihula jiandae Mkwe ndio keshajilengesha kwa mwanao na anataka kabla mwaka huu haujaisha akuletee mjukuu. .

Anamjua huyu mama au anamskia?hapendi vijana wa kidot.com milele hiyo ni wazi hapatakua na ukwe kati yao
 
Design wanaume wote Zitto, Prezoo na GK aliwapata kwenye interview.
Ndo maana alimmind Mnyika baada ya kumtolea nje kwenye interview yake may be alikuwa na lengo hilo jamaa akashtukia lol!.
 
Unajua ujana maji ua moto halafu wengine wanatoka maporini huko kila kitu wanakuta hapa mjini so hata wakiona vinyago wanarukwa mtoto wamjini wanakupa nyapu unapiga halafu unakula kona vilevile so wanapowabamba wakuja wanafutahi sana!!!!!!
 
Huyu mwanasiasa kumbe chiboko,kwanza alivuruga ndoa ya marehemu mishebeduo na ndio ukawa mwanzo wa mwisho yeye mh Mishebeduo na mume wake ,kaka Mpakabarabara,halafu eti nae anataka agombee uraisi,kweli TZ sasa uraisi kweli umekuwa rahisi.
 
Ajiheshimu akue ukimsikiliza anavyosifia wanamuziki uweziamini Ana .mwanaume

Gk unakazii loh
 
Nilichompendea kabaki chadema ex chase.a mukwe Naomi chadema
Dan ndioanafungua kipindi jamani msikilizeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom