Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
photo_2024-02-26_09-26-47.jpg
 
Huyu abdul wa kwanza inawezekanaje Azaliwe 2004, Tena anaelimu ya kidato cha nne, Awe na force no ya JKT ya AY? hiyo AY we unaiona ni kama kopo tu eeeh? 😂😂😂😂😂😂😂 mkiamua kuandaa hizi propaganda shirikisheni watu timamu. Ila ubunifu mzuri kazi nzuri ila no umakini
 
Kwani Wana CCM siyo Watanzania. Au ni Ulimbekini na Ushamba wa Kufikiria. Hakuna Mtanzania ambaye hana chama wala ambaye hana Sifa za Kuajiliwa. Sema Utofauti unakuwa Kwenye Sifa kuna Mwenye sifa Nzuri na zaidi ya Mwingine huyo ndiye hupewa Kipaumbele. So kuwa wewe ni Chadema, CCM, CUF, ACT Wazalendo au Jahazi asilia kwamba unakatazwa kujiunga na Majeshi. Nachojua Kila Mtanzania ana haki ya kuajiliwa. So huuu Upuuuzi siyo ajenda ya Utanzania labda ni ajenda ya Mungiki. Mungu atuepushe na Akili za Ovyo za kama Wewe Mtoa mada
 
Kwahiyo wanaombewa kazi na Chama!? Hebu shirikisha ubongo badala ya makalio kabla ya kucomment.
 
Kwani Wana CCM siyo Watanzania. Au ni Ulimbekini na Ushamba wa Kufikiria. Hakuna Mtanzania ambaye hana chama wala ambaye hana Sifa za Kuajiliwa. Sema Utofauti unakuwa Kwenye Sifa kuna Mwenye sifa Nzuri na zaidi ya Mwingine huyo ndiye hupewa Kipaumbele. So kuwa wewe ni Chadema, CCM, CUF, ACT Wazalendo au Jahazi asilia kwamba unakatazwa kujiunga na Majeshi. Nachojua Kila Mtanzania ana haki ya kuajiliwa. So huuu Upuuuzi siyo ajenda ya Utanzania labda ni ajenda ya Mungiki. Mungu atuepushe na Akili za Ovyo za kama Wewe Mtoa mada
Huna akili, kulikua na haja gani kuomba kazi kupitia Yuvisisiemu, yuvisisiemu na polisi ni idara sambamba? Kwamba yuvisisiemu ni kitengo cha ulinzi/usalama nchini au polisi ndio kitengo cha siasa?
Kwanini waingize siasa kwenye vitengo vya ulinzi na usalama huoni kama huo ni ujinga kabisa?
 
Back
Top Bottom