Huyo dereva si mjinga kama mnavyofikiri, hadi kuamua ku-overtake lazima aliona mbele kumenyooka na hakuna gari
...angevumilia tu akifika sehemu nzuri ndo akanyagie mafuta. Mia
Huyo dereva si mjinga kama mnavyofikiri, hadi kuamua ku-overtake lazima aliona mbele kumenyooka na hakuna gari
hawa madereva me nadhani huwa wanavuta bangi kwanza kabla ya kuanza safari.
Huyo dereva si mjinga kama mnavyofikiri, hadi kuamua ku-overtake lazima aliona mbele kumenyooka na hakuna gari
Hawa madereva unasindwa uwaweke wapi,ni vichaa au ni wavuta bangi?
kwani hiyo barabara haiwezi kuwa one way
Uchochezi wa abiria inategemea mana kuna magari hata ufanyeje wao speed yao kama ni 100 ni 100 tu na nadhani unayajua lakini ni kweli kuna baadhi ya mabasi yanaendeshwa na abiria yani abiria wakisema dereva chochea anachochea, punguza anapunguza.Hata abiria huwa tunachochea.
Mi naona wangeweka dereva wa bus lazima elimu ya chini iwe form 4.nahisi elimu inachangiaUtaahira+bange+misifa isiyokuwa na maana=akili ya madereva wetu (walio wengi) wa mabasi hapa nchini!