Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani

mbona umewabebesha lawama wanawake tu? kwa hiyo unashauri wanawake wasifanye kazi na vip kama mume naye anatakwa na bosi wake wa kike au katishiwa kufukuzwa kazi atawajibika kitandani vizuri? cha kuongezea unakuta mwanaume kapita nyumba ndogo na kawajibika ipasavyo akirudi home hana hamu na mkewe

Nafikiri ulitakiwa uongezee matatizo yanayowafanya wanawake wacause ths thing
ikiwa mada ya matatizo ya wanaume kutowafikisha wanawake tutachangia kwa upeo au mwelekeo huo
 
Uko vizuri mkuu lugha na kujisahau kuwa yeye ni mwanamke na yupo chini ya mwanaume siku zote ni mojawapo pia kabla hajaolewa alikua analala bila chupi leo analala na jinsi hata kama we mwanaume utaipata wapi hamu wasituzengue hawa wanawake dawa ni kutafuta cha nje kipime ondoa stress mwanaume
 
No, nilikausha nikajifanya nimeshikwa na kichomi mkuu. Ingekuwa noma mwanamke ukimtoa mapungufu yake live inakuwa noma inabidi utumie akili kidogo kufikisha ujumbe.
 
Baadhi yao wachafu sana, wengine papuchi zao ni kavu hata kama unamuandaa mtu dakika 45 sasa wenye uzoefu na hili pia na mimi naomba kusaidiwa.
 
Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo.

Lawama hizo wamekuwa wakiwatupia wanaume bila kuangalia uhalisia wake.

Ukweli ni kuwa wanawake wenyewe ndo wamekua chanzo kikubwa cia tatizo hili.

Sababu zifuatazo kwa ufaham wangu ndo zinasababisha:

UCHAFU:
Wanawake siku hizi wanashindwa kujifanyia usafi ipasavyo miili yao kitu kinachosababisha mwanaume kukereka na hamu kwisha.

KAZI:
Wanawake wa siku hizi inafahamika kuwa wanafanya kazi,mwanamke anarudi kazini na uchovu, stress, katukanwa na bosi wake, amepata loss, ametongozwa na boss na kutishiwa kufukuzwa kazi kama atamkataa, amesikia fununu za ridandasi n.k,mwanamke kama huyu hawezi kuwa na ndoa imara.

KUTOKUWA MUWAZI:
Hili ni tatizo kubwa, wanawake hawapo wazi kama hawajatosheka kitandani hivyo wanaenda kulalamika nje na pindi mume apatapo taarifa hunyong'onyea kwa sababu anajua watu wanajua mkewe hamtoshelezi.

UFUJAJI:
Mwanamke mfujaji mume wake lazima atakuwa na tatizo hili.

LUGHA CHAFU:
Lugha ni nguzo nyingine inayochangia tatizo hii, unakuta mume maumbile yake madogo, badala mwanamke kutumia lugha nzuri anatumia lugha za kashfa kitu kinachomfanya mume kupoteza kujiamini.

USHIRIKIANO:
Wakati wa tendo unakuta mwanaume anashughulika lakini mwanamke amelala kama hakuna kinachoendelea hali hii inakera sana!...

Sababu ni nyingi sana ila nasema wanawake wabadilike wao ndio nguzo muhimu sana hapa. Sisemi wanaume hawana lawama wanazo hasa, ULEVI, UVUTAJI SIGARA na KUFANYA KAZI KUPINDUKIA humfanya awe mchovu kitandani, lakini mwanamke anaplay part kubwa kwenye tatizo hili! Ladies mpo hapo?

NAWATAKIENI NDOA/MAHUSIANO IMARA!

UVIVU:
Wanawake wavivu kiasi kwamba atataka akupe goli 1 kisha mlale. Hii inashusha performance kwa kiwango cha Standard Gauge!

Akikufanyia hili ukazoea basi tambua utakuwa umeshajipatia kilema cha maisha. Achilia mbali vyakula vya mafuta mafuta ambavyo atakuwa anakupikia kukujaza kitambi mwisho una develop kiba 100!
 
Kuna dada nilikutana ile Mimi nafanya yangu ndo Kwanza Ana piga story anacheka amelala Kama gogo sijui alinizalau ata miguno ya mahaba kesho yake akawa anataka niende Tena nilikataa sikuenda
 
Hili Jambo la Uchafu (kunuka K) niwewahi kukutana nalo kwa mademu waiwil watatu ikanibidi nifanye research nijue.

Tatizo mademu wengi hawajui sperm zikikaa kule ndani bila kusafishwa zinatengeneza mazingira rafiki kwa bacteria kuzaliana wakutosha hao Bacteria sasa ndio wanakuja kuleta noma

Akiendela na hii tabia ya kutojisafisha Hawa Bacteria wanatengeneza utando wa maziwa maziwa kule ndani na ndio shughuri inakuwa imeanza

Wakati wa show ukiingiza propeller kule ndani unaenda kutibua ecosystem yote iyo smell itakayotoka hapo..si ya nnchi hii

Nini kifanyike

Antibiotics..(AZUMA)
Usafi wa K.

Nawasilisha wakuu
 
Babu DC,kuna ukweli mkubwa kwenye uliyosema,ila mwanamke kunuka mdomo?Dah,inatia kinyaa sana,kwa mwanaume inakera lakini inakua afadhali kidogo aiseee!Sisemi ni sawa kwa mwanaume kunuka mdomo ila kwa mwanamke ni zaidi ya kinyaa!
hapo uafadhali unakuwa wapi wakati wote ni mdomo unanuka
 
Back
Top Bottom