Hawataweza kamwe,ukweli lazima usemwe!
Mimi pia nina shida sana ni mchovu sana kitandani yaani wakati mwingine huwa hata kumuingia mwanamke inakuwa ngoma kweli
Babu DC,uchafu mimi ni shahidi,niliwahi kuwa na binti mchafu,nilikuwa natumia hekima sana kumweleza ili asijifikirie vibaya lakini hakuwa akinielewa,nashukuru Mungu kilichofanya tusitishe uhusiano ni jambo jingine kabisa!
Acha kupiga mswaki siku mbili utaelewa tu!
Babu DC,asante kwa swali zuri,sio kweli kuwa wote niliokuwa nao wapo hivyo,ila nina marafiki nasoma visa mbalimbali na pia nakutana na wadada hawa kila siku,vitu kama kutoa harufu mdomoni na kwapani ni vitu vya kawaida,wanaume nao wanamatatizo hayo ila mwanamke na mwanaume ni tofauti!
Ivi..tunavosema 'mchafu' tuna maana gani??