Haya chukueni upesi haya yafuatayo kutoka kambini huko nchini Ivory Coast

1. Kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji Kibu Denis katika mechi za Afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya Zambia na Congo DR itakuwa ni kwa kutuzuga tu ila hatompa dakika 90 bali atampa nusu tu yaani dakika 45

2. kocha wenu dalali kwa kumkomoa mchezaji mpambanaji Kibu Denis kaamua kumpa nafasi mchezaji wake anayamdalalia aitwae Charles Mmombwa kwa kumpa dakika zote 90 kwa mechi zote tatu huko Afcon nchini Ivory Coast

3. Kocha wenu mkuu na dalali hana maelewano mazuri na kocha msaidizi mzawa Hemed Morocco na kwamba juzi kocha msaidizi huyo alipokuwa nae akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya taifa ( taifa stars ) alimtukana kama mtoto mdogo

4. Kwa sasa hakuna mahusiano mazuri kati ya nahodha wa taifa stars Mbwana Samatta ( captain Diego ) na kocha mkuu wenu dalali baada ya ile juzi wakati mechi dhidi ya wanaojua hadi wanakera Morocco kumshauri kocha mkuu wenu dalali kuwa awaingize haraka akina Simon Msuva na Kibu Denis ( dakika za awali za kipindi cha kwanza ) ili asaidiane nao kimashambulizi kule mbele na akakataa japo kinafiki baadae akamuingiza Msuva

5. Kocha msaidizi mwingine mzawa Juma Mgunda juzi wakiwa kambini walijibizana na kocha mkuu wenu dalali baada ya Mgunda kumwambia asipange kikosi cha kuzuia bali apange kikosi cha kujilipua kwani hatuna cha kupoteza na awaanzishe akina Feisal Salum, Simon Msuva na Kibu Denis ila kocha mkuu akamkatalia huku akimfokea na kuamuru kuwa kocha Mgunda asikae pale benchini wakati wa mechi na akakae juu jukwaani

6. Wachezaji wote wa timu ya taifa ( taifa stars ) wamelalamika kuwa tokea waende kambini kule Misri na hata huko mashindanoni Ivory Coast hawamuelewi kocha mkuu pamoja na mafundisho yake

7. Kadi nyekundu aliyoipata Novatus ni ya kimkakati na tegemeeni pia mechi ya Zambia mchezaji mwingine tegemeo kuipata au kujifanya kaumia ili atolewe na apumzike asije kupata majeraha na akajiharibia kibarua chake cha maana huko ulaya mbinu ambayo hata Novatus nae kaitumia baada ya kuona hakuna kocha mkuu bali kuna mpuuzi fulani tu aliyeaminiwa kuwaongoza na kuwasimamia lakini hana utaalam wala ujuzi wowote

Nawatakia kila la kheri Zambia na Congo DR pale wakicheza na Tanzania na naamini akina Musonda, Chama, Mayele na Inonga hawatoniangusha kabisa mshkaji wao cognizant mimi
hebu acha uongo wa oruma hapa,hivi nyie mnadhani huyo kocha ni mpumbavu kama nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandiko wa Gentamycin huu!

Asante Kwa za ndaani kabisa!!
 
Back
Top Bottom