lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 340
- 1,018
kati yawaislam na wakiristo kundi lipi linaongoza Kwa kuua sana?kisa hutengenezi silaha ndo ukiua kwa silaha usipewe lawama ila lawama wapewe watengeneza silaha
kati yawaislam na wakiristo kundi lipi linaongoza Kwa kuua sana?kisa hutengenezi silaha ndo ukiua kwa silaha usipewe lawama ila lawama wapewe watengeneza silaha
Dubai na saud arabia sio kwamba ni wapole wanasheria kali za kuthibiti magaidi
Hizo nchi zinaongozwa kifalme
Wafalme wanajua wakicheka na kima wanaondolewa
Wananyonga watu km kuku
KabisaKama umechokozwa ukajilipue ukaue watu wasio na hatia halafu useme ni watu wazuri?
Waarabu ni magaidi. Mfano hai Libya.
Tunisia pale kuna mwafrika mzamiaji alichomwa kisu na mwaarabu kisa wanaogopa watazaa na dada zao na rangi ya uarabu itapotea, cha kushangaza wakifanikiwa kuingia ulaya wanapokelewa na kupewa uraia
Waarabu Hapana
Mpumbavu Sawa na waoHao wa Yemen sijui Pakistan somalia Afghanistan ni waislam masikin hakuna elim nk. Ingawaje wanachokifanya ndivyo uislam unataka. Usifikir wanavyokuita kafiri wanatania. Ukishaitwa kafiri umeshawekwa kwenye levo ya kuchomwa moto tu maana unakuwa jitu linaloishi bila mpangilio lipo lipo tu bila Mungu. Unastahili kuuwawa.
Hivi bakwata ndio shia?ndani ya uislamu kuna madhehebu kuna hao shia ndiyo hatari wanaamini kuwa kuna mtu wao anaitwa mahd atakuja kuwaokoa watu kutoka mikononi mwa makafiri(israel) wao walishajiekea hilo kuwa ipo siku watashinda ndiyo maana mentality yao kuiondoa ni ngumu.
wapo wengine wamebakia na misingi ya jihadi hawa ni sunni hivyo lolote ufanyalo wao hawaelewi wanataka dola,wasiwe chini ya uongozi wa kisekula.
tupoi sisi bakwata tumekubaliu kuendeshwa kama maboya.
Amesema pia Saudia anawakubali thats why hâta Ronald aka adopt hukoMbona mlet
Mbona mleta mada umejichanganya sana. Dubai na Abudhabi inahusiana nini na Ronaldo?
Ukipata muda na kama hali ya uchumi inaruhusu basi tembelea na nchi moja Afrika inaitwa Senegal. Senegal Waislamu wanafika 90% lakini hawana shida kabisa na Wakristu ambao ni minority yaani less than 10%.Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience ilifanya niwaheshimu sana watu wa Dubai. Kwa sasa kila nikienda kule basi najitahidi hata nivae kama wao kabisa sababu ya heshima niliowapa kwa kile kitendo. Na si mm tu, mtu yyt ukiachana na hawa wazamiaji lazima upewe ukarimu sana ukiwa dubai
Dubai na emirates kwa ujumla ni wakarimu sana, usiende tu kama mtumwa, sabab hata sisi weusi kwa weusi tunatesana kwa watu walio chini yetu, that's human nature. Ila generally waarabu wa Dubai na Abu dhabi ni watu poa sana.
Ndo maana sishangai hata Ronaldo kuadopt kabisa maisha ya kule, wanavyokutreat tu lazima na ww utawaheshimu
Hawa wengine walipua mabom kila siku sijui uislam wao ni wa wapi, siujui uislam ila kama ningekua muislam ningechagua huu uislam wa dubai.
Hivi ni kwann panapo tokea vita kwenye nchi za waislam ni lazima watu huwa wanarazimisha ionekane imesababishwa na dini na sio siasa?
Kwa hiyo Wasaudis ni Magaidi?“15 Saudis involved in the bombings of the Pentagon and Twin Towers that cost nearly 3,000 lives” WACHAWI HAWAKOSI MISA na hua WANAKAA MSTARI WA MBELE
That’s what you have said.Kwa hiyo Wasaudis ni Magaidi?
Kwa hiyo na Ukraine , Congo ,Burundi nk ambapo kuna machafuko nao hawana elimu ya dunia na ni waisilam na ndio maana wanauwana?nahisi umasikini uliotopea ukosefu wa elimu dunya ni chanzo cha misimamo mikali
kuwait
bahrain
Qatar
Oman
UAE
Saud
Singapore
Alafu
Afghan
pakistan
yemen
Sudan
kuna kipindi Lebanon walikua vyema sana mpaka walivyoanza kuongozwa na radicals
Kwanza huko Yemen kwenyewe ulisha enda na kudhibitisha kuwa wana roho mbaya? au ww kipimo cha raia wa nchi fulani kuwa na roho mbaya ni nchi hiyo kuwa na vita?Hao waislamu wa huko Yemen na wengne wenye roho mbaya shida yao kubwa ni elimu kichwani ni weupe peee ila hao wa Dubai elimu imekaa na sio washamba, njoo bongo waislamu maskin heeeee wamoto kichiz ila matajiri aaah so easy.
Kwahiyo waisilam wa buza wana shida na nyinyi wagaratia?Ukipata muda na kama hali ya uchumi inaruhusu basi tembelea na nchi moja Afrika inaitwa Senegal. Senegal Waislamu wanafika 90% lakini hawana shida kabisa na Wakristu ambao ni minority yaani less than 10%.
Ila njoo sasa uwaòne Waislamu wa hapa Buza kwetu, utakimbia
Wanachoma makanisa, wanachukia nguruwe halafu lazima usoni uwakute na sigidaKwahiyo waisilam wa buza wana shida na nyinyi wagaratia?
Wewe ulishawah kwenda huko Yemen ukadhibitisha hawana roho mbaya!? Kwhyo unahis wanasingiziwa!?Kwanza huko Yemen kwenyewe ulisha enda na kudhibitisha kuwa wana roho mbaya? au ww kipimo cha raia wa nchi fulani kuwa na roho mbaya ni nchi hiyo kuwa na vita?