GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Nashauri wale Wanajeshi MP wa Lugalo, waliowapiga ovyo ( bila Hatia ) Raia wa Kawe na Kuwatesa huku Wengine wakiwajeruhi vibaya wapelekwe huko Mbagala wakakabiliane na hawa Wahuni na Vibaka wa huko Mbagala ambao sasa wamekuwa ni Kero Kubwa kwa Wakazi wa huko hasa Wamama na Mabinti.
Hali si nzuri huko Mbagala hasa katika baadhi ya Vitongoni kwani Vijana Wahuni bila ya Kuogopa tena Wakijiamini kabisa wameamuwa Kuwabaka Wamama na Mabinti huku Wakivunja Nyumba zao na Kuwaibia Vitu vya Thamani na Kuwajeruhi vibaya kwa Mapanga, Bisibisi na Visu.