afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
He! Ha ha ha....! Makubwa
mie jina lako nimelizimia na mwomba nim keep huyo paka??
He! Ha ha ha....! Makubwa
Ulihakikisha umejiandikisha kwenye daftari la kudumu la mahujaji wa Yerusalemu Mpya? Na ile kitu inawekwa mseseve uliifakamia vya kutosha?
Na wenyewe tutawajumuisha huko si wana akili za kitoto ?Ndugu yangu, hao sio watoto. Ni watu wazima walioshindwa kura za maoni CCM. Wengine ni wale wanaosubiri kuteuliwa ukuu wa wilaya na mikoa. Wanasiasa wakikosa kazi, tabia zao kama watoto tu. Wee subiri Rais atangaze vyeo vyote, upuuzi huu utapungua sana. Kuna mmoja namjua alikuwa mgombea ubunge jimbo moja Kigoma.
SIMPLE:
Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
Ya siku hizi sio kama ya Enzi zile. wamshaichakachua!!
Naunga mkono hoja asilimia 500%,liwepo jukwaa la watoto!
Tumekusikia mkuu manake hali ni mbaya wakina dada watatukimbia sasa hivi si unaona walivyoniunga mkono hapa ?SIMPLE:
Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
mie jina lako nimelizimia na mwomba nim keep huyo paka??
SIMPLE:
Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
SIMPLE:
Ukimwona aloanzisha thread ya kitoto BONYEZA REPORT BUTTON sisi tutasafisha jukwaa
Tumekusikia mkuu manake hali ni mbaya wakina dada watatukimbia sasa hivi si unaona walivyoniunga mkono hapa ?
Ha ha ha....! Ngoja nimtrain kwanza maana so far ananijua mie tu, asije kukushambulia. Si umeona hiyo ki2 ya moto hiyo....
Malaria Sugu
nyie huku mnaongea mambo ya tigo wakisoma nao wanaenda kuombana tigo hadi waje wafikishe 25yrs hata mbele hawagusi tena