Hawa nitawapata wapi

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,761
Napenda kufahamu nitawapata wapi watu au kampuni inayojihusisha na kuweka nembo pamoja na maandishi kwenye vifungashio (packages) kama viroba na mifuko mingine. Naomba mnifahamishe
 
Contact this man Mr Magarya +255-784480381. Tel him your friend in Arusha at EACJ directed me.
Good Day.
Mtumishi Wetu.
 
Back
Top Bottom