Nimeipenda analysis ya haki Ritz bravo!!Hawa Nghumbi kwani maisha bila ubunge hayawezekani ki ukweli jimbo la Ubungo huwezi kushinda...jipange na kazi zingine.
Mkuu huyu mama angelikuwa na akili badala ya kupoteza muda na rufaa zisizo kichwa wala miguu angeanza kujipanga na mkakati uchaguzi wa 2015!!! Kama ameona watu hawamtaki basi anganganie CCM ya Mhe Makamba amsaidie kulipa gharama za mahakama!!! Labda lengo lao ni kumuyumbisha Mhe Nyika badala ya kutilia maanani maendeleo ya jimbo azame kwenye issue za mahakama wapate namana ya kumsuta!!!Mahakimu wa kushughulikia kesi za kifisadi hakuna, wanacheza makidamakida na kesi za uchaguzi! Hata kama atashinda in 2013, aapishwe, ashukuru wananchi, azoee mjengo, muda wa kazi umeisha. Anarudi kuaga wananchi!
Next time hata wanaccm hawatampigia kura hata moja, a-appeal on zero votes against the massive!
Huu upuuzi utaisha lini?
Halafu huyo wakili naye, duuuuh! Sijui ndiyo kuganga njaa huko....
Mkuu huyu mama angelikuwa na akili badala ya kupoteza muda na rufaa zisizo kichwa wala miguu angeanza kujipanga na mkakati uchaguzi wa 2015!!! Kama ameona watu hawamtaki basi anganganie CCM ya Mhe Makamba amsaidie kulipa gharama za mahakama!!! Labda lengo lao ni kumuyumbisha Mhe Nyika badala ya kutilia maanani maendeleo ya jimbo azame kwenye issue za mahakama wapate namana ya kumsuta!!!
Ataanza kuokota makopo punde!mibange bhana!
Hawa Nghumbi kwani maisha bila ubunge hayawezekani ki ukweli jimbo la Ubungo huwezi kushinda...jipange na kazi zingine.
sio kila haki lazima uitumie... kuna wajibu pia wa kusaidia serikali kwenye kutumia vyema rasilimali zake..... haki na wajibu lazima viende pamojaKama kweli sisi tunaheshimu utawala wa sheria na demokrasia pia lazima tukubali kuwa ni haki yake kikatiba kukata rufaa! Acheni aende huko mahakamani tena haki ndio itapatikana huko! sasa kama mahakama zetu hazipo huru ( kama wengi tunavoamini na tulivoshuhudia segerea et al) basi hilo ni swala jingine la kushugulikia kwenye katiba mpya kwamba tufanyeje ili mahakama ziwe huru zisiwe remote controlled bna wanasiasa walio madarakani??
Kuna Kutafuta Haki na Kuna kutafuta Upuuzi, Huyu mama sasa ni Upuuzi, Hajali maendeleo ya watu wa Ubungo, kama ana akili angetumia muda mwingi kuwa karibu na wananchi kufanya shughuli za maendeleo na sio kuhamia mahakamani, nadhani she is attention seeker, bahati mbaya she is getting a wrong attention.
kwa mara ya kwanza mkuu tangu nijiunge jf leo ndio nimeona umenena
Hawa Nghumbi kwani maisha bila ubunge hayawezekani ki ukweli jimbo la Ubungo huwezi kushinda...jipange na kazi zingine.