Hawa ndio wabunge waliopiga "Vote of no confidence" kwa Waziri Mkuu TZ

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=3][/h]

hjk.jpg
 
Safi,
Mwakilishi yeyote mwingine mzalendo ambaye hakuonekana kwenye karatasi hili la majina tafadhali atueleze sababu mapema Kabla wananchi hatujachukua maamuzi magumu Kwa wasaliti wetu
 
tuweke tumaini tu kuwa saini zINAZOHITAJIKA NI 70! Si ndio utaratibu unavyotaka? Tusiwalaumu wasioweka kwa sasa. Tutawalaumu pale hoja imefikishwa kwa Spika halafu hawakutimiza wajibu wao wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu
 
Hakuna jinsi ya kuizoom kidogo hii list. Kwa tunaotumia vimeo ni dhahama tul balaa!
 
Tusiwalaumu sana wasioweka sign kwani hao sometimes ni waoga ila wakiisha kupata mtu wa kumfunga paka kengele, hujitokeza kwa kasi na kusababisha athari ambayo hakuna wa kuweza kuizuia. Maadamu wamepatikana 70 kama sheria inavyoelekeza basi katika upigaji kura ambao ni wa siri, hakuna ubishi kwamba Pinda atang'olewa kwa asilimia zaidi ya 80.
.
 
Mhe. Cheyo vipi?

uzee na uoga ni sawa na uji na mgonjwa wanavyoendana.msimlaumu sana muwe mnaangalia hali za watu.wakulaumiwa sana ni wabunge vijana ,inamaana wamekata tamaa au hawajui kinachoendelea au kutokujiamini
na mambo kama hayo
 
Mbona kuanzia 56 wananza na Mhe. wengine siyo wahesshimiwa? Silipendi neno hilo.
 
Mhe. Cheyo vipi?

Cheyo si ndiye mwenyekiti wa PAC mimi nilidhani yeye angekuwa wa kwanza akafuatiwa na Mrema (LAC) na kisha Zitto wa POAC. Hawa ndio wadau wenyewe wa CAG na taarifa iliyozaa hiyo chokochoko ni taarifa ya CAG. Kukosekana kwa Cheyo kumenifanya nijihoji maswali lukuki.
 
Hili itasambaza kwa wananchi wote,Hukumu yake itakuwa 2015.Ambaye jina lake halipo hapa naye asile!Safi sana Makamanda wa Ukweli siyo wanaojiita wapambanaji wa Kichina!
 
Back
Top Bottom