Hawa nao watahitaji mkopo wa elimu ya juu!!

Eyoma

Senior Member
Sep 9, 2011
166
40
• napata shida na falsafa yetu ya elimu. badala ya kufanya usimamizi huu mkali wakati wa kufundisha, tunafanya wakati wa mtihani ambao malengo yao ni kuwachuja wanafunzi. swali, sasa wakifeli tunawapeleka wapi? mfumo huu si rafiki kwa misha ya sasa. we need a competence based system amabyo mwanafunzi atakuwa na maks za kila siku wakati wa kujifunza na huu mtihani wa mwisho kutokuwa na maks nyingi kama ilivyo sasa. Elimu si tu kufaulu huu mtihani, ina maana pana zaidi ya hiki tunacho fanya hapa. HAYA MATESO JUA KALI JAMANI LOH!

Akili ku-mkichwa acha wale wa english medium waongoze kwa kufaulu feki..mtihani mwema majembe yangu ya shule za "KAYUMBA"hebu na nyie Serikali muwe makini mpaka leo ivi kweli? Darasa la saba hawa jamani..enz zetu L.Y BEST WISHES




wakuu huo ndo udhibiti wa mtihani kwa wanafunzi std 7.Jua lao hilo.alafu tutegeme waende vyuo vikuu na kupewa mikopo.tupia maoni juu ya hilo
 

Attachments

  • hongera std 7.doc
    70.5 KB · Views: 54
Back
Top Bottom